Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Mimi ninayo psoriasis yaani fungers long time back lakini sijapata dawa maalum...na nahisi iko vile vile
kwani dawa aina yingi nimetumia...nipeni ushauri wa dawa nzuri ya kutumia.
 
Tumia doxicisiline pamoja na fluconazole inayoitwa flucan ya gram 150 hii inauzwa 4000= na doxicisiline ni 2000= jitaidi kutumia kwa mwezi mzima Kama ni ya muda mrefu hakika utapona
 
tumia dawa ya vdonge inaitwa zoncon ya gm kama 30 inauzwa elfu2 kidonge af oga kwa dettol na tafuta powder ya contrimazole candid pnd utokapo kuoga jikaushe vzur af jipake ... Within a week utakuwa fresh ...Usipende kuvaa boksa za kubana mwil au kuvaa nguo nyng ndan
 
na mie ngoja nitoe experience yangu,nilishawah kusumbuliwa sana na fangasi sehem za sir,kwa wiki kama nne zilizopita nmeponya tatzo hili kwa tiba ya vitunguu swaumu, nilikua nikivimenya vitunguu hvyo vipande kati ya tano mpk saba na kuvikata kata baada ya apo nilikua na meza na maji kama vidonge. Ndani ya wiki na nusu ckuona tena hilo tatizo wala muwasho
 
mimi ni mwanaume, miaka 19, wananisumbua shingoni, kwapani na sehemu za siri. kutokana na haraka ya madaktari tumbi hospital, walinipa dawa ambayo ni kama cream ipo kwenye ki tube. nikawaambia hii dawa naijua nimesha tumia hii na dawa nyingine kama hii zinazotengenezwa india. nilitamani kupata vidonge kwani nahisi tatizo lipo ndani ya mwili. hawakunisikiliza. nakumbuka ilikuwa ni dawa ya deplozon.
hivi wewe ni mwanaume au mwanamke? au wewe ni bwabwa?mimi natafuta wanawake wewe unaniandikia pm ya kwamba unataka nikuto.mbe, mimi tangu lini nakula matope? mjinga kweli wewe.
 
Hahahaha Huyo atakua ni gasho!
 
na mie ngoja nitoe experience yangu,nilishawah kusumbuliwa sana na fangasi sehem za sir,kwa wiki kama nne zilizopita nmeponya tatzo hili kwa tiba ya vitunguu swaumu, nilikua nikivimenya vitunguu hvyo vipande kati ya tano mpk saba na kuvikata kata baada ya apo nilikua na meza na maji kama vidonge. Ndani ya wiki na nusu ckuona tena hilo tatizo wala muwasho

maelezo yako hayajakamilika mkuu.. hujaelezea umma ulikua unameza vyote saba kwa wakati mmoja(7 x 1) au ulimezaje??
 
na mie ngoja nitoe experience yangu,nilishawah kusumbuliwa sana na fangasi sehem za sir,kwa wiki kama nne zilizopita nmeponya tatzo hili kwa tiba ya vitunguu swaumu, nilikua nikivimenya vitunguu hvyo vipande kati ya tano mpk saba na kuvikata kata baada ya apo nilikua na meza na maji kama vidonge. Ndani ya wiki na nusu ckuona tena hilo tatizo wala muwasho
MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
kikubwa ni kuhama.madhira hayo kuamia ambayo hawakua wakikusumbua kwan huwa wanajirudia rudia hawa fungus vinginevyo utaendelea kutibu unapona wanarudi tena
 
Dawa kiboko ya Fungus na Minyoo

Nunua kitunguu swaumu.Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya kupikia.Twanga ama saga,vikishasagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.
Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri unaweza tapika.(Mara chache sana hutokea kutapika)

Ukishakaa kama dk 15 hali yako itarudi kawaida.Baada ya SIKU 1,utaona minyoo hakuna tena na fungus wote wamekauka!Kwisha kabisa!!!!

Pia kama una presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana presha,labda unywe na kahawa baada ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena presha!

Msisite kuja kutoa ushuhuda wenu hapa wakuu.Ni hayo tu.

220px-Italian_garlic_PDO.JPG
 
Habari wakuu,

Ndugu zang naombeni msaada wa dawa ya kumaliza kabisa tatzo lang la fangasi sehem za siri maana linansumbua sana.

Natanguliza shukraan
 
Pole..kweli fangasi wamekuvuruga!hili jukwaa sio sahii.
 
Pakaa Colgate au white glo ya meno in a 24 hrs umeua kila kitu alafu njoo to a mrejesho ila muwasho wake iodine tincture irudi nyuma.
 
Dawa kiboko ya Fungus na Minyoo

Nunua kitunguu swaumu.Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya kupikia.Twanga ama saga,vikishasagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.
Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri unaweza tapika.(Mara chache sana hutokea kutapika)

Ukishakaa kama dk 15 hali yako itarudi kawaida.Baada ya SIKU 1,utaona minyoo hakuna tena na fungus wote wamekauka!Kwisha kabisa!!!!

Pia kama una presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana presha,labda unywe na kahawa baada ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena presha!

Msisite kuja kutoa ushuhuda wenu hapa wakuu.Ni hayo tu.

220px-Italian_garlic_PDO.JPG

Mkuu Mzizimkavu asante kwa msaada unaoutoa hapa jamvini, mimi nina tatizo la kuwashwa mwili/ kuchomachoma hasa pale joto la mwili linapoanza kuongezeka mf. Nikiwa naota moto/jua/nikifanya mazoezi, hali hii ya mwili kuwasha hudumu kwa kipindi kisichozidi nusu SAA then baada ya hapo hali ya kawaida hurejea...

Baada ya muwasho hutokea VIDOTI vidogo hasa kwenye mikono na baadae hupotea...

Hali ya ngozi yangu ni kama ina MBA, msaada wako tafadhali sana ni ugonjwa gani huu unaonisibu coz umedumu kwa muda sasa
 
Back
Top Bottom