Mkuu Mzizimkavu asante kwa msaada unaoutoa hapa jamvini, mimi nina tatizo la kuwashwa mwili/ kuchomachoma hasa pale joto la mwili linapoanza kuongezeka mf. Nikiwa naota moto/jua/nikifanya mazoezi, hali hii ya mwili kuwasha hudumu kwa kipindi kisichozidi nusu SAA then baada ya hapo hali ya kawaida hurejea...
Baada ya muwasho hutokea VIDOTI vidogo hasa kwenye mikono na baadae hupotea...
Hali ya ngozi yangu ni kama ina MBA, msaada wako tafadhali sana ni ugonjwa gani huu unaonisibu coz umedumu kwa muda sasa