Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Wanajamii,je ni dawa gani au ni tiba ipi inatibu fungus sugu zilizo sehemu za siri yaani ndani yanapoanzia mapaja kwenye maeneo alipo mzee wa kazi.Naomba ushauri
Unaweza kutumia cream ya Miconazole Nitrate, ukapakaa kutwa mara mbili kwa muda wa wiki mbili
 
Niko smart sana,ila yawezekana bafu mahali hapa napoishi zikawa zina sababisha pia?
maana tupo wapangaji kibao na sina amani na bafu hizi

Kama walivyosema wakuu hapo juu (Smarter na mpasuajipu99).

Kutopanguza maji, kuwa na nguo mbichi au yenye unyevunyevu na kutonyoa sehemu hizo yana sababisha fangasi. Lakini pamoja na hilo ni vizuri kuelewa kwamba unyevunyevu hutokana na jasho kubaki kwenye sehemu hizo pia.

Tatizo la fangasi limeongezeka sana tangu miaka 10 zilizopita kutokana na ongezeko la joto na unyevu katika hewa. Nguo zinazobana ngozi sana haswa nguo za ndani, yanasababisha kutoka jasho na hilo linaleta tatizo. Nashauri pia kwamba watu watumie sabuni yenye antibacterial agent kama sabuni ya dettol au lifebuoy.

Asante.
 
Kama walivyosema wakuu hapo juu (Smarter na mpasuajipu99). Kutopanguza maji, kuwa na nguo mbichi au yenye unyevunyevu na kutonyoa sehemu hizo yana sababisha fangasi. Lakini pamoja na hilo ni vizuri kuelewa kwamba unyevunyevu hutokana na jasho kubaki kwenye sehemu hizo pia.
Tatizo la fangasi limeongezeka sana tangu miaka 10 zilizopita kutokana na ongezeko la joto na unyevu katika hewa. Nguo zinazobana ngozi sana haswa nguo za ndani, yanasababisha kutoka jasho na hilo linaleta tatizo. Nashauri pia kwamba watu watumie sabuni yenye antibacterial agent kama sabuni ya dettol au lifebuoy.

Asante.
Nashukuru kwa ushauri wako. lakini ameshatumia dawa nying za kupaka na kunywa kama intraconazole, aspruvin, na hata fluconzole altumia akaanza kupata nafuu ila siku moja hakunywa kile donge, fangasi walirud kwa kasi hata apoendelea hakuwa na mafanikio tena..!! na pia ketaconazole ameambiwa ni nzur lakini hazipatikan...!! kama kuna mtu ashawah kupona fangasi sugu au ana jua chochote anisaidie nimsaidie mdogo wangu
 
Kuna dawa inaitwa Terbinafine vidonge na yakupakaa. Huwa inawasaidia wengi. Itabidi achukue kidonge kimoja kila siku kwa muda wa wiki mbili kwanza na vile vile kutumia tube ya terbinafine kupakaa.
 
Wanajamvi naomba kuleta tatizo hili kwenu. Mimi nina ugonjwa wa mba tangu muda kama mwaka mmoja. Huwa unaisha kwa dawa za kupaka na kurudi tena baada ya muda.

Pia nina mashilingi sio mapunye haya yamenitokea hivi karibuni sasa naomba kwa anayeelewa chanzo cha vitu hivi viwili na tiba(kiasili na kisasa) yake naomba anisaidie. Na je kuna madhara gani yatakayotokana na hivyo vitu?

Mungu awabariki
 
kuna nyuzi nyingi sana humu tumeshajadil mkuu zitafute
 
Wakuu,

Tunaomba ushauri wenu, kwa wale ambao specialists wa magonjwa haya ya ngozi. Tunauliza hivi kwa niaba ya watu wengi ambao wamekuwa wanahangaika kupata suluhu ya matatizo haya ya MBA, Fangasi na mabaka (hasa kwenye sehemu za siri, yakiwemo mapaja).

Shukrani

Tafadhari tunaomba ushauri wenu:

A. Kuhusu Fungus za sehemu za siri:
Zinatibiwa vipi au na dawa gani? Mdau anadai amefanya yafuatayo mpaka sasa:
1. Kunyoa muda wote
2. Kukausha vizuri kwa taulo baada ya kuoga
3. Kutumia gentriderm ya kupaka.
Na ameona kuwa akitumia gentriderm zinapona lakini baada kama ya wiki zinarudi.

B. Mabaka:
Je, kuna dawa ya mabaka ya usoni, mgongoni, kifuani na sehemu nyingine za mwili?

C.Mba:
Dawa ya mba please? (Tunafahamu kuna mjadala juu ya MBA tu hapa => Ujue ugonjwa wa Mba na Tiba yake

NB:
Kwa kila moja ya dawa utajazo hapo juu tuambie kama mtoto anaweza kutumia, na kama hawezi; ni umri gani unashauriwa?

Je, kwa magonjwa hayo kuna dawa za mitishamba pia, ni zipi, zinatumikaje na dosage yake ikoje.

===========
Similar Cases:

==========
MASWALI MUHIMU:

==========
Walionufaika na ushauri wa wadau:
 
Wanajamvi naomba kuleta tatizo hili kwenu. Mimi nina ugonjwa wa mba tangu muda kama mwaka mmoja. Huwa unaisha kwa dawa za kupaka na kurudi tena baada ya muda.

Pia nina mashilingi sio mapunye haya yamenitokea hivi karibuni sasa naomba kwa anayeelewa chanzo cha vitu hivi viwili na tiba(kiasili na kisasa) yake naomba anisaidie. Na je kuna madhara gani yatakayotokana na hivyo vitu?

Mungu awabariki
Kwa mashilingi tumia majani machanga ya m'boga na kwa MBA nakushauri nenda ukafanye checking inawezekana ikawa ni allergy ya wadudu wanaoitwa dust mites.

Hawa hawaonekani kwa macho matupu lakini tabia yao ni kula ngozi iliyokufa kwa hivyo kama una allergy nao ndio hutokea hivyo.
 
OFA OFA OFA OFA

PEARL SOAP ni sabuni ambayo inatatua matatizo yako ya ngozi yaliyokuwa yanakusumbua kwa muda mrefu bila kupata ufumbuzi sabuni hii ni sabuni ya asili ambayo haina kemikali imetengemezwa kwa kutumia mapango ya baharini na mafuta ya samaki pamoja na mifupa ina vitamini kwa ajili ya ngozi yako kazi ya hii sabuni ni

KAZI YA PEARL SOAP

1. Inafanya ngozi yako kuwa nzuri na kuimariaha rangi ya ngozi yako.

2. Inaondoa madoadoa ya kwenye gozi na kufanya ngozi iwe ang'afu.

3. Inaondoa mafuta ya ngozi na kuifanya ngozi kuwa safi na kavu.

4. Inarudisha ubora wa ngoZi kwa kufufua tisu za ngozi zilizoharibiwa kwa kujichubua.

5. Inaondoa vitobotobo vya kwenye ngoZi na kufanya ngozi yako ipimue kwa urahis1. Inafanya ngozi yako kuwa nzuri na kuimariaha rangi ya ngozi yako.

6. Inatibu matatizo ya chunusi alala na kufanya ngozi yako iwe nyororo

7. Inazuia miale ya jua aina ya UV-radiation na kuikinga na miale ya jua kupita kwenye ngozi ya uso moja kwa moja

8. Inazuia maambukizia ya ngozi pamoja na kushambuliwa na bakteria au vijidudu

9. Inatibu kabisa matangotango na kukuacha ngozi ikiwa safi na salama

kama ulikua unaona aibu kutokana na ngozi yako kushambuliwa na vijidudu , madoa ya chunusi pamoja na madhara yaliyotokana na kujichubua basi mkombozi wako amewasili ni PEARL SOAP PEKEE

Tunaposema ni ofa tunamaanisha ofa kweli ilikua inapatikana kwa tsh 7000-10000 /=

Ila kwa kuwa lengo ni kusaidia ngozi yako utaipata sabuni hii kwa tsh 5000/= Tu

Ukihitaji sabuni hii wasiliana nasi kupitia namba hizi:

0655731345
0767831345
0621083585

Matokeo ya sabuni hii ni ndani ya wiki mbili tu kwa wale waliowaijichubua kurudisha ngoZi yako wa awali na kuondoa makovu na madoadoa ni ndani ya wiki moja tu

image.jpeg
 
Kuna tatizo sugu la fangasi linamsumbua mke wangu kwa muda mrefu na ameshatumia dawa tofauti tofauti.
 
Pole sana.....fungas zipo za aina nyingi be specific na je ameshawai kutumia dawa aina yoyote ya fungas?
 
Back
Top Bottom