brivigy
Member
- Aug 9, 2016
- 41
- 60
cream za 2000 qu cjui 3000 haziweki komesha tatizo LA fungus kwan dawa ambayo zinawamaliza ni fluconazole tabs 200mg na sio 150mg kama wanazowapatia au zingine wanazokuwa wanawapa....but kidonge kimoja ni 2000 almost but naomba ufanye mchanganyo huo kama nilivokuelekeza then bad a ya two weeks nitafute PM halafu unipe mrejesho zaid....prednosolone haiwdz simply bcoz ni slow reacting kama zilivo cotrimazole au micobazole yan ni very very slow reacting drugs na kumbuka fungus wanashamili sana sehemu yenye joto LA 40°c ambalo almost lipo kwenye mapaja tofaut na joto LA mwili LA 37°c so yan ndo mana wengi wanahangaika sana na fungus wa sehemu za siri ni kwa sababu kwanza joto LA kule linawafanye wazaliane kwa las zaidiSawa mkuu asante kwa somo lako.VP na Hawa fungus wa pembeni ya mapaja?na VP vile vishilingi vinawatokea sana watoto kichwani?dawa hii hii itatibu?
Pia nisaidie..tukienda hospital wanasema tatizo lipo kwenye damu..na wewe unasema tupake kwa nje!!itatibu VP?naomba nisaidie.
Pia kuna Jamaa yangu anatatizo la lachen pranus is like fungus but ni skin infections ambao imemshambulia sana kuanzia mapajani..VP anaweza paka hiyo?kwa muda huu anatumia dawa inaitwa NADOXIN cream kupaka na vidonge vya prednsoline.
Asante.
pili joto la Kyle linawafanye wadevelop drug resistant na dawa hizo ambZo ni slow reacting but tumia septrin mchanganyo kama utaona hata DOA lililobaki bad a ya kuanzia week mbili na zaidi...utakuwa kuniambia unless utatumia pesa ndefu na hutaweza kupona.....kinachofanya fungus wasipone ni kwa sababu cell membrane yako inafanana na cell membrane ya cell zetu so Mara nying wanapoinvade skin areas huwa waningia deep skin surface na kuwaua inakuwa ni ngumu mpka utumie septrin ambayo imeundwa special kwa bacterial +fungal infection kwan yenyew itawaua wale fungus na kuspare your normal skin cells.
kuhusu mwenzio mshauri atumie kwanza mkologo huo niliokuambia halafu mwambie apunguze kutumia dawa nying za fungs kwa wakat moja kwan unapotumia dawa za kila a in a ndo unawafanye wadevelop drug resistant so kuwaua utakuwa ngumu mpka tukuchukue vipimo vya drug sensitivity in relation to specific fungal infection ambayo ni garama xana hutaweza afford.
Fanya kama nilivotoa maelekezo na halima utarudisha feedback nzuri