Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
yan bado hajapata nafuu yan mpk ukurutu masikion
Unaweza kutumia cream ya Miconazole Nitrate, ukapakaa kutwa mara mbili kwa muda wa wiki mbiliWanajamii,je ni dawa gani au ni tiba ipi inatibu fungus sugu zilizo sehemu za siri yaani ndani yanapoanzia mapaja kwenye maeneo alipo mzee wa kazi.Naomba ushauri
Niko smart sana,ila yawezekana bafu mahali hapa napoishi zikawa zina sababisha pia?
maana tupo wapangaji kibao na sina amani na bafu hizi
Nashukuru kwa ushauri wako. lakini ameshatumia dawa nying za kupaka na kunywa kama intraconazole, aspruvin, na hata fluconzole altumia akaanza kupata nafuu ila siku moja hakunywa kile donge, fangasi walirud kwa kasi hata apoendelea hakuwa na mafanikio tena..!! na pia ketaconazole ameambiwa ni nzur lakini hazipatikan...!! kama kuna mtu ashawah kupona fangasi sugu au ana jua chochote anisaidie nimsaidie mdogo wanguKama walivyosema wakuu hapo juu (Smarter na mpasuajipu99). Kutopanguza maji, kuwa na nguo mbichi au yenye unyevunyevu na kutonyoa sehemu hizo yana sababisha fangasi. Lakini pamoja na hilo ni vizuri kuelewa kwamba unyevunyevu hutokana na jasho kubaki kwenye sehemu hizo pia.
Tatizo la fangasi limeongezeka sana tangu miaka 10 zilizopita kutokana na ongezeko la joto na unyevu katika hewa. Nguo zinazobana ngozi sana haswa nguo za ndani, yanasababisha kutoka jasho na hilo linaleta tatizo. Nashauri pia kwamba watu watumie sabuni yenye antibacterial agent kama sabuni ya dettol au lifebuoy.
Asante.
Nashukuru kwa ushauri wako. lakini ameshatumia dawa nying za kupaka na kunywa kama intraconazole, aspruvin, na hata fluconzole altumia akaanza kupata nafuu ila siku moja hakunywa kile donge, fangasi walirud kwa kasi hata apoendelea hakuwa na mafanikio tena..!! na pia ketaconazole ameambiwa ni nzur lakini hazipatikan...!! kama kuna mtu ashawah kupona fangasi sugu au ana jua chochote anisaidie nimsaidie mdogo wangu
ahsante kaka.Kuna dawa inaitwa Terbinafine vidonge na yakupakaa. Huwa inawasaidia wengi. Itabidi achukue kidonge kimoja kila siku kwa muda wa wiki mbili kwanza na vile vile kutumia tube ya terbinafine kupakaa.
ahsante ( !!!!!!!!)[emoji101][emoji101][emoji101]
shukran mkuukuna nyuzi nyingi sana humu tumeshajadil mkuu zitafute
Wakuu,
Tunaomba ushauri wenu, kwa wale ambao specialists wa magonjwa haya ya ngozi. Tunauliza hivi kwa niaba ya watu wengi ambao wamekuwa wanahangaika kupata suluhu ya matatizo haya ya MBA, Fangasi na mabaka (hasa kwenye sehemu za siri, yakiwemo mapaja).
Shukrani
Tafadhari tunaomba ushauri wenu:
A. Kuhusu Fungus za sehemu za siri:
Zinatibiwa vipi au na dawa gani? Mdau anadai amefanya yafuatayo mpaka sasa:
1. Kunyoa muda wote
2. Kukausha vizuri kwa taulo baada ya kuoga
3. Kutumia gentriderm ya kupaka.
Na ameona kuwa akitumia gentriderm zinapona lakini baada kama ya wiki zinarudi.
B. Mabaka:
Je, kuna dawa ya mabaka ya usoni, mgongoni, kifuani na sehemu nyingine za mwili?
C.Mba:
Dawa ya mba please? (Tunafahamu kuna mjadala juu ya MBA tu hapa => Ujue ugonjwa wa Mba na Tiba yake
NB:
Kwa kila moja ya dawa utajazo hapo juu tuambie kama mtoto anaweza kutumia, na kama hawezi; ni umri gani unashauriwa?
Je, kwa magonjwa hayo kuna dawa za mitishamba pia, ni zipi, zinatumikaje na dosage yake ikoje.
===========
Similar Cases:
==========
MASWALI MUHIMU:
==========
Walionufaika na ushauri wa wadau:
Kwa mashilingi tumia majani machanga ya m'boga na kwa MBA nakushauri nenda ukafanye checking inawezekana ikawa ni allergy ya wadudu wanaoitwa dust mites.Wanajamvi naomba kuleta tatizo hili kwenu. Mimi nina ugonjwa wa mba tangu muda kama mwaka mmoja. Huwa unaisha kwa dawa za kupaka na kurudi tena baada ya muda.
Pia nina mashilingi sio mapunye haya yamenitokea hivi karibuni sasa naomba kwa anayeelewa chanzo cha vitu hivi viwili na tiba(kiasili na kisasa) yake naomba anisaidie. Na je kuna madhara gani yatakayotokana na hivyo vitu?
Mungu awabariki