Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Nifuate pm nikupe dawa..! Km ni fangus za nje but malipo yapo ingawa kidogo.
Ukiniona tapeli acha usinifuate..

Na mimi nina tatizo hilo leo ni karibu miezi saba. Nimepaka dawa na kumeza vidonge napata nafuu ya muda tu kisha tatizo liko palepale
 
Ni asali Safi mix na unga kikombe I na asali Safi kikombe kikubwa kimoja
 
Kuliko Daw nyingi, za fangus ikiwa Allah ataipa amri ikuponye
 

Asante sana, kwa kufunguka naomba kujua hapo kwenye idadi ya seprin, umetoa kipimo kwa bei yaani za tsh 1000.

Naona kama hyo ni siyo namna nzur kwakuwa bei inaweza kuwa tofaut na eneo ulipo so pengine usipate kipimo sahihi. Naomba kujua kwa maana ya idadi like ni vidonge vingapi au kama ni ya maji basi milgrams ngap.

Asante sana
 
Ahsante sana ubarikiwe
 
Hivi asprin bado zipo
 
Kama Kuna kitu nachukia ni utangotango nadhani hii dawa yako inatibu although sina ila angalau ntasaidia walionizunguka
 
kabisa upon sahihi mkuu...pia kama ukiwa kwenye dozi ya systemic fungal infection..it is prohibited kutumia vyakula vya mafuta sana pia....asante mkuu...
Jf ni zaidi ya mtandao wa kijamii asante
 
Hizo dawa mzuri sana
 
Hahaha
 
That y napenda kuwa member humu kuna msaahada mkubwa sana kuna watu wako serious kwa msaada,thx sana sir
 
Mfano zipo uson na uso wake na mafuta mgando haupatani je anaweza kuchanganyia mafuta ya maji mf ya nazi?
 
Mfano zipo uson na uso wake na mafuta mgando haupatani je anaweza kuchanganyia mafuta ya maji mf ya nazi?
kwani as aleji na mafuta ya mgando au huwa hajipaki mafuta mgando...but najua kuna watu hawana moody na mafuta ya mgando but at least awe anjipaka usiku wakati wa kulala halafu akiamka asubuh anaoga ndo anaenda kwenye mishe mishe...inatosha kujipaka usiku tena akilala dawa inakuwa active sana.....yan mwambie kama anaweza awe anajipaka usiku muda wa kulala halafu mchana anakaa kawaida tu....unless other wise....but ukisema dawa uchanganye na mafuta ya naz ni dawa tu but chemistry ya drud reaction ilifanyiwa utafiti ikagundulika kuwa mafuta mgando yanaifanya dawa owe more reactive haswa though he/she can do as you have requested.....mwambie ajarib...but hope utakuwa powa tu...
 
Thx sana
 
Asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…