Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake


Septrin tabs..Usage uchanganye upake kwenye ngozi?

This is irrational drug usage
 
Yaelekea brivigy ni mcha Mungu mzuri ndiyo maana anapenda kuwaokoa watu!
 
Ugonjwa Wa ngozi wowote ukitumia dawa utapona ndani ya siku tatu tu... Siku zikizidi hiyo si dawa si nzuri.
wadudu wanaoshambulia ngozi wanapokula dawa huwa fanya wazimie kwa masaa kumi na mbili tu wanaamka wakiwa na njaa hutafuta chakula na kula tena sasa wakikuta kuna dawa huila na kuzimia tena kwa masaa kumi na mbili hivyo hivyo kwa siku tatu hufa kabisa na hata kuzaliana kwao Kunakosekana...

Hivyo unashauliwa kutumia dawa kwa kufuata muda tu hakika utapona... Pia tambua Maji na jasho ni hatari jiepushe navyo ndani ya dozi maana wadudu wakipata Maji Maji huzinduka na kuzaliana faster hivyo hutokuja kupona hadi kifo kikutembelee... So oga vizuri paka dawa muda wa kuoga uwe huo huo Kama ni usiku au Asubuhi hadi masaa 24 yapite hivyo hivyo ndipo unapaka dawa. Namaanisha uoge Mara moja tu kwa siku... Usione kinyaa ni kwa ajili ya kupona pia nguo zako unazovaa zifuliwe vizuri na pasi zipigwe vizuri viatu vifuliwe kwa sabuni ya dawa ikiwezekana uviloweke japo kwa nusu saa ukitumia detail soap na soksi badili kila siku na zifuliwe ni kwa ajili ya kutokujiambukiza siku za usoni...

Hakika utapona... Dawa zipo nyingi sana na zinaponyesha issue ni masharti tu even Maji ya chumvi ukitumia pia utapona
 


hongera kaka kwa elimu yako ni kwel fangasi limekuwa tatizo,, kwa mfano mm nmetumia kwel hizo dawa ulzozitaja hapo juu kasoro hiyo turbine lkn sijapona fangasi zipo sehem za siri na mdomon znafanya ukurutu na utando mweupe mdomon, pia kuwasha sana kwny pumbu na kutoka ukurutu, nimetumia pesa nyng ila sion mafanikio, kuna kipind nilianza kutumia fluconzole 200mg baada ya vdonge 7 nilianza kuona mabadlko ilikuwa ni dozi ya vidonge 30, lakin siku ya 9 nilisahsahau kutumia kdonge kimoja kesho yake niliendelea lakin fangasi zirilud kwa kasi, swali langu docta nifanyeje? au nirud tu kutumia hizo dawa upya?? au fangasi wametengeneza Kinga zid ya hizo dawa baada ya kusahau hyo siku moja?? nifanyeje samahan kw hilo
 
Et huu unaitwa ugonjwa gan? "Kuna kijana anaumwa hivi anapokwenda kujisaidi huku kwenye Anas kunatoka kitu kama linyama hivi""
Nadhan ndo unaitwa bawaziri....na dawa zake ziko nyingi....ngoja wadau waje wanajua....again...am just guesing the name!
 
Mkuu Brivigy, kama fungus wakiwa ni wale wa ndani ya uke inakuwaje?
 
Et huu unaitwa ugonjwa gan? "Kuna kijana anaumwa hivi anapokwenda kujisaidi huku kwenye Anas kunatoka kitu kama linyama hivi""
una kitu kinanaitwa rectal prolapse...nenda hospital ufanyiwe rectal examination na mambo yatakuwa poa
 
tumia mchanganyo huuo nilioutaja hapo juu halafu bada ya week 2 ulete mlejesho
 
Mkuu Brivigy, kama fungus wakiwa ni wale wa ndani ya uke inakuwaje?
tumia fluconazole pesselies 200mg .dozi mzima na contra indication hapo usifanye mapenzi ndani ya dozi ya fluconazole pessel 200mg ..ukifanya bas ujue umeharibu tiba hapo lazima uanze upya dozi..vaginal candidiasis huruhusiwi kufa ya mapenzi ukiwa kwa dozi...wanWake wengi sana hawaponi kwa sababu pia ya dose disruption ..
 
tumia mchanganyo huuo nilioutaja hapo juu halafu bada ya week 2 ulete mlejesho
ahsante sanaa, je huo mchanganyiko nipake na mdomon kwenye lips fangas walipo au nifanyeje kuhusu wa mdomon?? na pia nahisi hawa fangas wapo mpaka ndan ya mwili, je huo mchanganyiko utatibu na wa ndan pia?

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
kama zipo kwenye lipsi za mdomo naruhusiwa pia kupaka maeneo hayo??
 
hata ARV zipo katika grade tofaut so zipo za kunywa kila siku na zipo za kumeza Mara moja kwa mwaka au moja wa mwezi au Mara moja kwa miaka 5 but ni xo expensive...


Mkuu brivigy , una uhakika na hiki unachowaeleza watu hapa? Nina mashaka na hicho ulichokisema kuhusu ARVs.

Once-a-month medication?!! or Once-a-year medication?!! Medical science on ARVs nadhani bado haijafika huko. Mpaka sasa bado wanameza dawa on daily basis. Inasemekana zinatofautiana tu Quality, i.e ARVs zinazotumika Africa hazina ubora mzuri kama ARVs zinazotumika huko Developed Countries. Ila mpaka sasa ARVs zote bado ni DAILY pills duniani kote, kwa mtu ambaye ni HIV+ .

Hizo unazosema wewe za kunywa once a week/month/year bado zipo kwenye Trials. Not yet proved!

Mkuu pitia hizi recent studies on the same:

Once-a-Week HIV Injections May Free Millions From Pills

A Monthly Shot Could Soon Replace Daily HIV Meds

New HIV Treatment Only Requires 4 Uses A Year

Otherwise labda sina updated info on this. I stand to be corrected.

CC: Sky Eclat .

-Kaveli-
 

That is the future plans, infact kuna watu wameshaanza kutumia ARV za kumeza mara tatu kwa wiki, hii ni kwa wale wenye matatizo ya figo na wasiokumbuka kunywa dawa kila siku, mara nyingi wanakunywa J3, J5, Ijumaa na unakuwa na weekend free. Matatizo ni kuwa wengi hawakumbuki siku ya kunywa na siku ya kupumzika, inabidi na wengine wanaamua waendelee na za kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…