Mkuu Pure nomaa,Hii ni bonge la dawa mkuu.Niliangaika sana mpaka nilipokutana na prof wa ngozi regency hospt akanipa hii dawa ndani ya siku3 tu utaanza kuona mabadiliko
[/QUOTE]<br />Are you sure?
Hiyo inatibu miwasho yyote ni dawa nzuri mnoooo
Dawa gani hiyo na inaitwaje na inapatikana wapiHiyo inatibu miwasho yyote ni dawa nzuri mnoooo
nunua septrin za elfu, nunua mafuta ya baby care ndogo saga hivyo vidonge changanya na hayo mafuta anza kupaka sehemu iliyoathirika ndani ya wiki mbili lazima urudi na mtokeo mazuriDawa gani hiyo na inaitwaje na inapatikana wapi
Ndiyo, ilifanikiwa. Endapo una tatizo hilo, Jaribu ili ujionee tofauti.
tumia mafuta ya lavenda na castor pakaa utapona kwa uwezo wa MunguKama kichwa cha habari kinavyoeleza, mimi ni wmanaume miaka 25, nilianza kushambuliwa na fangasi nikiwa form two 2007, mpaka naandika huu uzi nimehangaika zaidi ya miaka kumi bila kupata mafanikio,
Nimezunguka hospitali kubwa na ndogo natumia dawa bila mafanikio, nimetumia dawa nyingi za kienyeji bila mafanikio. Fangasi wa kwenye (tests) ngozi ya pumbu sehemu ya pembeni.
Naomba masaada wa dawa ambayo itanisaidia kupona kabisa maana nakosa furaha ya kuishi.
Nb: nimefanya vipimo vyote vya magonjwa ya ngozi vinaonsha ni fangasi.
Weka hadharani PM nini sasa?Hii ndio dawa ya fangasi wowote wale
GRISEOFULVIN DOSAGE 30 TABS 1 PER DAY KWA SIKU 30
UMEPONA TAYARI
Kama unahitaji maelekezo zaidi Ni PM
Yatakua kisha utayangoa.....meno ya plastiki dawa yake nn
hiyo ni fangasi mzee, kama jamaa alivyoshauri hapo juuJamani wanajamii naomba mnisaidie mwenzenu haraka sanaa...Ni hivi siku za karibuni nimekuwa na tatizo kwenye ngozi ya korodani (scrotum) tatizo lenyewe ni kwamba hiyo ngozi inakuwa ngumu kidogo ya kujikunja na inawasha sanaa kiasi kwamba ukikuna unahisi rahaa...na kibaya sahivi naona imeanza kubabuka yaani kama ile nyoka akifa ile ngozi inavyotoka...na haitoki na nyama wala nini....sasa wajameni nauliza hili ni tatizo ganii....???? au ni Fangas??? na situmii dawa yeyote mimii au ni Joto la DSM maana mm Wa Arusha............. PLease help me peoples!
kuna Mawili either huogi vzr uko chin au upak mafuta sasa fanya hivi nyoa mkama kuna nywele alafu paka mafuta na kila ukioga sugua vzr na dodoki huko mzeeeJamani wanajamii naomba mnisaidie mwenzenu haraka sanaa...Ni hivi siku za karibuni nimekuwa na tatizo kwenye ngozi ya korodani (scrotum) tatizo lenyewe ni kwamba hiyo ngozi inakuwa ngumu kidogo ya kujikunja na inawasha sanaa kiasi kwamba ukikuna unahisi rahaa...na kibaya sahivi naona imeanza kubabuka yaani kama ile nyoka akifa ile ngozi inavyotoka...na haitoki na nyama wala nini....sasa wajameni nauliza hili ni tatizo ganii....???? au ni Fangas??? na situmii dawa yeyote mimii au ni Joto la DSM maana mm Wa Arusha............. PLease help me peoples!