Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, mimi ni wmanaume miaka 25, nilianza kushambuliwa na fangasi nikiwa form two 2007, mpaka naandika huu uzi nimehangaika zaidi ya miaka kumi bila kupata mafanikio,
Nimezunguka hospitali kubwa na ndogo natumia dawa bila mafanikio, nimetumia dawa nyingi za kienyeji bila mafanikio. Fangasi wa kwenye (tests) ngozi ya pumbu sehemu ya pembeni.
Naomba masaada wa dawa ambayo itanisaidia kupona kabisa maana nakosa furaha ya kuishi.
Nb: nimefanya vipimo vyote vya magonjwa ya ngozi vinaonsha ni fangasi.