Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Kwanini usimwone daktari?
 
Hebu kwanza badilisha tittle, hiyo alafu tumia lugha nzuri kidogo.

Hiyo ni dalili ya magongwa ya Zinaa ambayo ni hatari sana kwa afya yako ya uzazi, itapelekea kuwa mgumba kabisa kama huta chukua hatua mapema.
1; acha kabisa kushiriki tendo na mwenzi wako kwa sasa ili kumuepusha na tatizo hilo.

2; kama hukuwahi kuchepuka basi mchunguze vizuri mwenzi wako anaweza kuwa chanzo hata kama madhara bado hayajaanza kujitokeza kwake kutokana na tofauti ya kimaumbile. Chukua hatua kumsaidia mapema.

3; wahi haraka hospital , ukapate matibabu mapema kabla Madhara hayajawa makubwa.

Note, Tatizo hilo pia linaweza kusababishwa na kutojisafisha kwa muda mrefu baada ya tendo au wale wanaopiga nyeto Mara kwa Mara na kutokujisafisha. Na kupelekea mgandamizo.
Kama unahusika na moja kati ya hayo basi jitahidi kubadilika.

Ahsante.
 
mkuu unatokea upande wa malawi nini,maana huko na ndiko wanapotumia chupi za vip mpaka leo hii,mi nakupa ushauri zimwagie nyunyizia petrol chukua jiko la mkaa lielekee mpaka petrol yote ikauke utakuwa umepona kabisaaaa!
 
hapa kwenye punyeto panaweza kua kweli
 
pole sana mkuu jiepushe kulala bila kujifunika unaweza kulia ukiwa paka au panya wakakutafuna,hizo ni fungus kamuone daktari
 
Kunamafuta flani hivi nikifika home nitayaangalia jina ili ununue au nikuuzie maana Mimi nilioga sikumoja maji ya chumvi ukanishika umenitesa sana but nilipopata dawa umekwisha kabisa
 
Hiyo ni fungus nenda duka la dawa wakupe dawa ya fungus za pumbu.
Sababu kubwa ni kuvaa chup za kubana na nguo ambazo hazikukauka vizuri pamoja na kurudia nguo za ndani.
Njia nyingine ni kusubiri wakati pale limekakamaa lipakae mafuta ya kupikia then utaoma kuna ukoko ambao unaweza upandua na ukisugua unatoka.
Baada ya hapo utapona kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…