Wewe sasa ndio hujui kitu mimi ni mzawa wa Pwani na Kiswahili kinapotumika sana ndimu na limao ni matunda mawili tofauti ila yana kazi moja inayofanana ndimu ni ndogo ndogo na ziko soft malimao ni makubwa yana size ya machungwa na ngozi yake ni ngumu.Wr
Wengi tunashindwa kutofautisha ndimu na limao.? Mikoani tumezoea limao na pwani ndimu. Lakini kunatofauti ya ndimu na limao.
Tufahamishe vizuri ulitumia ndimu au limao
Nakwa wanawake wanaowashwa wao wafanyeje? Hasa maeneo nyeti ushauri TafadhaliWewe sasa ndio hujui kitu. Mimi ni mzawa wa Pwani na Kiswahili kinapotumika sana. Ndimu na limao ni matunda mawili tofauti ila yana kazi moja inayofanana. Ndimu ni ndogo ndogo na ziko soft....malimao ni makubwa yana size ya machungwa na ngozi yake ni ngumu.
Kwa matibabu, yote yanafaa, malimao na ndimu.
N.B...waswahili hasa tunaita LIMAU na sio LIMAO.
Tafuta uzi wa mambo nyeti ya wanawake zipo nyingi humu tafadhali.Nakwa wanawake wanaowashwa wao wafanyeje? Hasa maeneo nyeti ushauri Tafadhali
Aisee ulichokiandika umekielewa kweli mkuu? Au unamaanisha nini ili ueleweke vzrSwali pacha pia, mie nahisi shahawa zangu zina fungus kwani nimwingiliapo hubby wangu nakumwaga shahawa ndani yake hulalamika kuwashwa sana ukeni, je tatizo ni nini? Nifanyaje kutatua tatizo hili? Ila mi binafsi sihisi muwasho wowote!
Huby unamwagia shahawa tena? Wewe ni shemale auSwali pacha pia, mie nahisi shahawa zangu zina fungus kwani nimwingiliapo hubby wangu nakumwaga shahawa ndani yake hulalamika kuwashwa sana ukeni, je tatizo ni nini? Nifanyaje kutatua tatizo hili? Ila mi binafsi sihisi muwasho wowote!
Halo ya huby kumwagiwa shahawaAisee ulichokiandika umekielewa kweli mkuu? Au unamaanisha nini ili ueleweke vzr
Haya mambo ya kuiga bila kuelewa hutuumbua vbya sanaSwali pacha pia, mie nahisi shahawa zangu zina fungus kwani nimwingiliapo hubby wangu nakumwaga shahawa ndani yake hulalamika kuwashwa sana ukeni, je tatizo ni nini? Nifanyaje kutatua tatizo hili? Ila mi binafsi sihisi muwasho wowote!
Hivi uko serious au unatuzingua????[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Swali pacha pia, mie nahisi shahawa zangu zina fungus kwani nimwingiliapo hubby wangu nakumwaga shahawa ndani yake hulalamika kuwashwa sana ukeni, je tatizo ni nini? Nifanyaje kutatua tatizo hili? Ila mi binafsi sihisi muwasho wowote!
Kuanzia siku ya 3 hutapata tena maumivu.Sasa kama umechubuka na ndim ukapaka si kunauma??