Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Wakiziachia.. wahuni!!! Wakizibana... kuna fungus!!! Wanapata shida hawa watu
 
Unatiririka kwa point lakini keyboard ya yako haiko sawa nakushauri mkuu download nyingine isiyounganisha maneno. nitaku PM.
 
Naomba kuuliza eti mafuta ya breki ni dawa ya m'ba.??????
 
asante kwa tiba ngoja na mm niijaribu hyo then ntaleta majibu fangasi wanansumbua sana nna madao meupe mgongoni,usoni,kichwani. fluconazole zmedunda antifangal za kupaka zmegoma naona hii ya septrin itanifaa.
 
I'll oopi9k PO pool Pk POO PO PO PO PO PO OK PO OK OK ppl ppl polo
Kp0ok OK 9
OK o
 
9
asante kwa tiba ngoja na mm niijaribu hyo then ntaleta majibu fangasi wanansumbua sana nna madao meupe mgongoni,usoni,kichwani. fluconazole zmedunda antifangal za kupaka zmegoma naona hii ya septrin itanifaa.
V in ilk OK OK OK OK OKghiplpo8ii.oopjli7i9ll OK8oii pop up99i OK OK OK OK OK j
 
Samahan hzo dawa znauzwaje
 
Kuna dawa inaitwa Femicare ninayo mimi nauza na imesaidia had mke wangu kupona kabisa hata kwa wakaka inatibu vizuri tu...phone no.0716753534 nipo Dodoma
 
Habari, ni matumaini yangu hamjambo sana.

Niende moja kwa moja kwenye mada: Hali hiyo imenikuta ya kuwa na michirizi kama kupitiwa na Nairobi fly sehemu za siri pembeni kutoka kwenye centre ya UUME.

Nimeenda hospitali walipima walipatia dawa ya allege pamoja na ya kupaka ya fungus. Hali hii ilipotea kwa kipindi cha miez 6.

Pia ukifikicha zinatoka pumba na kunawasha.

Pia nimetoka kwenye soft water nimekuja kwenye hard water.

Msaada jamani wataalam!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…