Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

https://www.google.co.uk/url?
sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=1&cad=rja&uact=8&ved=0ahUKEwj6utDErJnPAhWqCsAKHUFtAR8QFggcMAA&url=http%3A%2F%2Fwww.hivplusmag.com%2Ftreatment%2F2015%2F11%2F09%2Fmonthly-shot-could-soon-replace-daily-hiv-meds&usg=AFQjCNG1vL3SrTsHhtw2KnBDopYF1yfQPw&sig2=vGyySKgP4M7BmE1htpSjkw

https://www.google.co.uk/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=3&cad=rja&uact=8&ved=0ahUKEwj6utDErJnPAhWqCsAKHUFtAR8QFggrMAI&url=https://www.avert.org/news/antiretroviral-injection-gives-viral-suppression-17-months&usg=AFQjCNHMVuZMURRyE1ov9x_-9bOISj4HOQ&sig2=n9Yq1G4c33lUg-4OciYExg

Thais is future plans, infact kuna watu wameshaanza kutumia ARV za kumeza mara tatu kwa wiki, hii ni kwa wale wenye matatizo ya figo na wasiokumbuka kunywa dawa kila siku, mara nyingi wanakunywa J3, J5, Ijumaa na unakuwa na weekend free. Matatizo ni kuwa wengi hawakumbuki siku ya kunywa na siku ya kupumzika, inabidi na wengine wanaamua waendelee na za kila siku.

The concern here is for HIV case per se. Not matatizo ya figo or else.

-Kaveli-
 
The concern here is for HIV case per se. Not matatizo ya figo or else.

-Kaveli-
Ok, that is what is now heading to while the injection which can fight the hidden virus in the T-cell is still on research. Currently, there is an injection which patients are taught to inject themselves (like the ones for diabetes) once a week. But that is happening in the developed world.
 
Ok, that is what is now heading to while the injection which can fight the hidden virus in the T-cell is still on research.

Currently, there is an injection which patients are taught to inject themselves (like the one for diabetes) once a week. But that is happening in the developed world.

Thanks for affirming it. That's the current situation. Researches are still in pipeline on the same. Mkuu brivigy alipotosha watu hapa.

Our primary center of attention is HIV case, as far as ARVs are concerned. Not Diabetes.

The bottom line is: ARVs are, until to-date, still DAILY pills worldwide regarding HIV+ case.

Doctor brivigy misinformed people here. I have just wanted to clear such atmosphere kwa manufaa ya wasomaji wa uzi huu. Thanks mkuu Sky Eclat for your useful insights in that regard.

-Kaveli-
 
Habari za muda huu wanaJF? Natumain mu wazima kabisa.

Naomben mnisaidie kufaham n nini sababisho la fangasi(fungus) ktk mwili ikiwemo kwenye kiuno unakopita mkanda wa suruali, mikunjo ya miguu na mikono, Kinachokera zaid n sehem za mapajan na korodan ambapo huleta muwasho had kujikuta najikuna hata mbele za watu bila kujali

Kiufupi ngozi yangu n yenye kutoa sana jasho mara kwa mara hivyo mara nyingi nakua (wet)mbichi bichi kwa jasho na hivyo hupelekea kusagika kwa ngozi na kuwa km tope lenye harufu mbaya saana.

Tatizo hili limekua na mimi kwa takriban miaka 9 sasa nmejaribu dawa za hospitali na mitishamba lakn bado sijaona suluhu.

Naomben msaada kwenu km kuna yeyote mwenye kufaham tiba ya huu ugonjwa au anamfaham tabibu mwenye utaalam na haya mambo anisaidie tafadhal wakuu

Thanks in advance
 
Ungetumia ntifungal cream with corticosteroid, daktari wako akikuandikia utazipata pharmacy mara nyingi zinauzwa kwa kibali cha daktari, lakini pharmacy za wahindi unaweza kupata.

Ukitumia baada ya wiki mbili kama hujapona ni kheri urudi tena kwa dr, corticosteroids zina madhara zikitumika muda mrefu.
 
umeishajua tatizo ni nini kwa nini usichukue hatua?

mkuu pamoja na madawa yote, USAFI ni kitu muhimu sana, oga vizuri asubuhi, ukisweat sana mchana kaoge tena na jioni pia. na baada ya kuoga hakikisha unajikausha vuzuri na taulo safi. Si mbaya hata ukiwa unapaka poda hayo maeneo ili kuzuia unyevunyevu. Fanya utafiti maji mnayooga huenda ni machafu, au vyomo mnavyotunzia huenda ni vichafu, au hata bufu unalotumia hakikisha ni safi mkuu.

Badili nguo hasa za ndani kila siku, tena kama ni boxer/chupi hata ukibadili mara 2 kwa siku sio mbaya.
usiku usilale na nguo nyingi.
 
Habari za muda huu wanaJF? Natumain mu wazima kabisa.

Naomben mnisaidie kufaham n nini sababisho la fangasi(fungus) ktk mwili ikiwemo kwenye kiuno unakopita mkanda wa suruali, mikunjo ya miguu na mikono, Kinachokera zaid n sehem za mapajan na korodan ambapo huleta muwasho had kujikuta najikuna hata mbele za watu bila kujali

Kiufupi ngozi yangu n yenye kutoa sana jasho mara kwa mara hivyo mara nyingi nakua (wet)mbichi bichi kwa jasho na hivyo hupelekea kusagika kwa ngozi na kuwa km tope lenye harufu mbaya saana.

Tatizo hili limekua na mimi kwa takriban miaka 9 sasa nmejaribu dawa za hospitali na mitishamba lakn bado sijaona suluhu.

Naomben msaada kwenu km kuna yeyote mwenye kufaham tiba ya huu ugonjwa au anamfaham tabibu mwenye utaalam na haya mambo anisaidie tafadhal wakuu

Thanks in advance
Well, kwanza pole sana mkuu.

Pili, zingatia ushauri wa wadau uliopewa hapo juu.

Lakini pia kwa kutibu fungus unaweza ukatumia mafuta yale yanayotumika kuwekwa kunako cherehani.

Fanya hivyo halaf lete mrejesho hapa.

Karibu Sana.
 
tatizo LA fungus limekuwa tatizo kubwa sana yan watu wanamwaga pesa zao kwa kununua dawa za kila INA lakini WAP...yan ukitaka kuamini jarib kwenda kila duka LA dawa unalolijua utaishia kupewa gresiofulvin,amphotelicin B,ketoconazole tabs na cream yake, fluconazole n.k..lakini kiukweli hizo dwa ni slow reacting drugs compared na fungal resistivity...kuna dawa kama fluconazole 200gm na Tarbenafile ndizo zinaweza kabiliana na tatizo hill but ni so expensive sana kwa mf .fluconazole 200gm inauzwa kidonge kimoja 2000 na unatakiwa utumie dozi moja complete yenye vidonge 15 so u can see ver very expensive...na ukiajidanganya kutumia vidonge 7 hutapona mpka umalize dozi...hata kwa terbinafile napo ni hivo hivo kama unaweza nenda medical shop mwambie akupe fluconazole 200 gm na sio 150gm yan hapo rudi unipe jibu na usidanganywe kupewa 150 gm ujue Aziponi...

but pia kuna hi I dawa ambayo ndo the best than ever known to most of people...yan watu wanakimbilia kununua dawa za fungas lakini wahaponi...fungus wanapovami mwili wako ni ngumu kutoka kama mwili wako utakuwa na chunus mgongoni au sehemu fungus zilipo...pale kunakuwa na multiple infection au utapata double infection ambayo kwa sasa tuliosomea mambo a skin I diseases au dermatologist tunaita una bacterial fungal infection so kama una MBA au fungas zilizoshindikana usitumie tena dawa yoyote ile ya fungas ila kuna dawa moja hivi ambayo kiukweli ndo itamaliza kila kitu inaitwa Septrin....

chukua septrin za 1000 halfu chukua mafuta madgo ya 300 aina ya baby care au Vaseline..(tafadhali usichanganye na lotion)
saga ile dawa au vile vidonge vyote mpka hakikisha vimekuwa unga haswa...
halafu changanyana mafuta mgando yako kwenye kikope like ..hakikisha unafanya mkologo wa maana...

then ukimaliza use unajipaka asbuhi kila unapomaliza kuoga unaenda kufnya mishe zako halafu jioni unaoga tena kisha unapaka tena...
yani for sure I give you two weeks hakuna hata DOA litakalobaki hapo na utakuja kutueleza juu ya maendeleo yako..

ukiona hujapona fungas badaa ya hiyo kazi bas namba uje hapa JF na azisha Uzi mwingine kwa kunitaji jina langu ili mnihoji juu ya fake advice I give you...
for sure hutaamini machoni mwako yani ni dawa itakayokugalimu kama 1000 lakini utakuwa umepona milele narudia tena milele na milele badala ya kuendelea kutumia dawa ambazo ni garama kubwa sana lakini hakuna lolote...only septrin is the final drug of choice for bacterial fungal infection...
naomba kuanzi Leo usinunue dawa yoyote ile ya fungal make kwanza izo dawa ni very very toxic sana kadri unapozidi kuzitumia..wale wataalamu wa afya watakubaliana na Mimi kuwa ketoconazole is the best liver inducing toxic drug na Mara nying husababisha kidney failure kwa akina mama wajawazito hata felt death can occur..ndo mana tumeitoa kwenye normal drug routine uses...

cha msingi ndg yangu kafanya kama nilivokuambia na wengine ambao mlikuwa hamjui juu ya siri kubwa ya septrin kutibu chronic fungal infections including systemic spread au local spread ila dawa take ndo hiyo..
nakutakia mafanikio mema mkuu...
uaiaite kunipa mrejesho ...
Japo sina taakuma ya utabibu ninaamini maelezobyako kwa namna ulivyojieleza hapo. Asante sana
 
Habari za muda huu wanaJF? Natumain mu wazima kabisa.

Naomben mnisaidie kufaham n nini sababisho la fangasi(fungus) ktk mwili ikiwemo kwenye kiuno unakopita mkanda wa suruali, mikunjo ya miguu na mikono, Kinachokera zaid n sehem za mapajan na korodan ambapo huleta muwasho had kujikuta najikuna hata mbele za watu bila kujali

Kiufupi ngozi yangu n yenye kutoa sana jasho mara kwa mara hivyo mara nyingi nakua (wet)mbichi bichi kwa jasho na hivyo hupelekea kusagika kwa ngozi na kuwa km tope lenye harufu mbaya saana.

Tatizo hili limekua na mimi kwa takriban miaka 9 sasa nmejaribu dawa za hospitali na mitishamba lakn bado sijaona suluhu.

Naomben msaada kwenu km kuna yeyote mwenye kufaham tiba ya huu ugonjwa au anamfaham tabibu mwenye utaalam na haya mambo anisaidie tafadhal wakuu

Thanks in advance

fungal.jpg

Fangasi wa ngozi ya mwili

Aina hii ya fangasi huathiri sehemu zisizojificha (sehemu za nje za mwili), tofauti na aina ya fangasi tuliozungumza wiki zilizopita ikiwemo wiki iliyopita tulipotazama fangasi wanaokaa sehemu za siri za mwili na zile zilizojificha kama vile, katikati ya vidole au chini ya kucha.

Aina hii ya fangasi huathiri sehemu za mwili ambazo ziko wazi kwa mfano tumboni au mgongoni.

Fangasi hawa hushambulia sehemu gani?

Fangasi wa aina hii huwa na uwezo wa kushambulia sehemu kubwa zaidi ya mwili kama mikono, miguu, uso na kiwiliwili.

Mwonekano wake

Fangasi wa aina hii huonekana kwenye mwili wakiwa na muundo wa duara mfano wa sarafu (mitaani tumezoea kusema shilingi) na ngozi ikiwa imevimba kwenye uzio wa eneo ambalo fangasi amevamia, yaani ukiangalia eneo lenye athari utaona kuna ka duara, mfano wa sarafu ambako kamevimba kwenye kingo za duara hilo mfano wa pete.

Eneo lenye maradhi pia hubadilika rangi na kuwa na rangi tofauti kidogo na rangi ya ngozi ya eneo ambalo halijaathirika na maambukizi. Mfano, mtu ambaye ana ngozi ya maji ya kunde eneo ambalo limeathirika linaweza kuwa na rangi nyeusi zaidi au likawa na rangi nyaupe zaidi.

Dalili za maambukizi

Aina hii ya fangasi huwa na dalili chache sana na kubwa ni muonekano wake kama nilivyouelezea hapo juu. Ila vifuatavyo huonekana :-

• Kubadilika kwa rangi ya ngozi ya eneo lenye maambukizi

• Eneo la ngozi lenye maambukizi huwa lina muundo wa duara mfano wa sarafu ya fedha.

• Ngozi kubanduka kwenye eneo lenye maambukizi

• Ngozi kukauka kwenye eneo lenye maambukizi

• Inawezekana kabisa kupata muwasho kwenye eneo lililo na maradhi ingawa si sehemu zote za mwili zenye maambukizi zinaonyesha dalili hii.

Husambaa vipi

Kati ya aina zote za fangasi aina hii ni rahisi zaidi kuambukizwa kutoka kwa mtu mwenye maradhi kwenda kwa Yule asiye na maradhi.

Maradhi haya huambukizwa kwa njia zifuatazo:

• Kugusana na mtu mwenye maambukizi ya fangasi hawa

• Kugusa vitu vilivyobeba fangasi wa aina hii kama vile nguo ikiwemo nguo za ndani, chanuo la nywele, mikufu, vifaa vya kuogea, viatu, soksi

• Unaweza kupata maambukizi pia kwa kugusa sehemu ambazo mwenye maradhi amegusa kama ukuta, viti, makochi na vitu vingine.

• Wanyama wa kufugwa pia wanaweza kubeba vimelea hivi vya fangasi.

Nani yuko hatarini

Watu ambao huweza kupata maambukizi ya fangasi wa aina hii ni kama wafuatao:

• Wale wanaofanya kazi zinazohusisha kugusana na watu wenye maambukizi ya fangasi

• Wanaolala kitanda kimoja na wenye maambukizi ya fangasi wa aina hii

• Wanaoshiriki mapenzi na wenza wenye maambukizi ya fangasi.
 
umeishajua tatizo ni nini kwa nini usichukue hatua?
mkuu pamoja na madawa yote, USAFI ni kitu muhimu sana, oga vizuri asubuhi, ukisweat sana mchana kaoge tena na jioni pia. na baada ya kuoga hakikisha unajikausha vuzuri na taulo safi. Si mbaya hata ukiwa unapaka poda hayo maeneo ili kuzuia unyevunyevu. Fanya utafiti maji mnayooga huenda ni machafu, au vyomo mnavyotunzia huenda ni vichafu, au hata bufu unalotumia hakikisha ni safi mkuu.
Badili nguo hasa za ndani kila siku, tena kama ni boxer/chupi hata ukibadili mara 2 kwa siku sio mbaya.
usiku usilale na nguo nyingi.
Daahh kwangu powder n kikwazo zaid maana ndo hutengeneza tope zaidi
Nashkuru pia kwa ushauri
 
umeishajua tatizo ni nini kwa nini usichukue hatua?
mkuu pamoja na madawa yote, USAFI ni kitu muhimu sana, oga vizuri asubuhi, ukisweat sana mchana kaoge tena na jioni pia. na baada ya kuoga hakikisha unajikausha vuzuri na taulo safi. Si mbaya hata ukiwa unapaka poda hayo maeneo ili kuzuia unyevunyevu. Fanya utafiti maji mnayooga huenda ni machafu, au vyomo mnavyotunzia huenda ni vichafu, au hata bufu unalotumia hakikisha ni safi mkuu.
Badili nguo hasa za ndani kila siku, tena kama ni boxer/chupi hata ukibadili mara 2 kwa siku sio mbaya.
usiku usilale na nguo nyingi.
Usisahau pia kuanika nguo zako za ndani nje kwenye jua ilizikauke vizur uczianike ndani..!!!
 
Usisahau pia kuanika nguo zako za ndani nje kwenye jua ilizikauke vizur uczianike ndani..!!!
Nashkuru saana wandugu kwa msaada wenu ila nlishapata dawa, kuna hospital nlienda wakanichek kwa kupima damu ila pia ushauri wenu umekua msaada saana kwangu

Nawaheshim saana
 
Nashkuru saana wandugu kwa msaada wenu ila nlishapata dawa, kuna hospital nlienda wakanichek kwa kupima damu ila pia ushauri wenu umekua msaada saana kwangu

Nawaheshim saana
Dawa uliyopewa inaitwaje ili iwasaidie na wengine pia wenye matatizo hayo?
 
Habari za muda huu wanaJF? Natumain mu wazima kabisa.

Naomben mnisaidie kufaham n nini sababisho la fangasi(fungus) ktk mwili ikiwemo kwenye kiuno unakopita mkanda wa suruali, mikunjo ya miguu na mikono, Kinachokera zaid n sehem za mapajan na korodan ambapo huleta muwasho had kujikuta najikuna hata mbele za watu bila kujali

Kiufupi ngozi yangu n yenye kutoa sana jasho mara kwa mara hivyo mara nyingi nakua (wet)mbichi bichi kwa jasho na hivyo hupelekea kusagika kwa ngozi na kuwa km tope lenye harufu mbaya saana.

Tatizo hili limekua na mimi kwa takriban miaka 9 sasa nmejaribu dawa za hospitali na mitishamba lakn bado sijaona suluhu.

Naomben msaada kwenu km kuna yeyote mwenye kufaham tiba ya huu ugonjwa au anamfaham tabibu mwenye utaalam na haya mambo anisaidie tafadhal wakuu

Thanks in advance
GUYS, DAWA NILIIPATA HOSPITAL ILA PIA NTAKUPA MAELEKEZO MAZURI IKIWEZEKANA HATA PICHA ILI UWE NA WEPESI WA KUIELEWA

JE, WEWE N MHITAJI? KARIBU INBOX
 
usiombe upate fangasi from china yaani huponi utaishi nayo mpaka mwisho wako wa maisha maana huwezi kupona kitu cha msingi ni kupambana na unyevu nyevu sehemu za siri bila ya hivyo utakua unakoboa hata mbele ya mama mkwe
 
Back
Top Bottom