Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Nimekukubali. yupo mtu ana goitre hivyo anapata hiyo shida. Nini uhusiano wake na goitre. Je waweza sema chochote juu ya goitre pia na matibabu yake, km yaweza isha bila operation( thyrotoxiciasis), je km lilishapimwa na kuonekana halina cancer badae laweza leta hiyo cancer. kumbuka baada ya dalili mbaya ndipo alianza dose ya cabimazole akarecover na sasa yupo normal tu. msaada please
 
naomba kujua hivi kunauhusiano wa kiasi gani kati ya kuharibika kwa mimba na fangas sehemu za ukeni, je fangas zaweza kuwa sababu ya mimba kuharibika, kama jibu ni ndio kwa kiasi gani, kama sio je kuna sababu nyingine zinazo weza kufanya mimba ikaharibika pindi ikiwa bado changa?
 
pole sana, ukeni kuna vijidudu ambavyo vinalinda usipate shida na hawa wanaitwa normal flora, meaning tunaishi nao ndani ya miili yetu na ni faida kuwa nao kwani ni sehemu ya kinga, vijididi hivi lactobacilus, wanaoosha ukeni sana mara na sabuni na nini, ama mapoko ya kushare in toilets, huondoa hawa vijidudu na hivyo ndivyo fungus hutokea. wakati wa ujauzito wakina mama wengi hupata fungus na huwa inatibiwa kwa dawa ya kuweka tu, hii ni kwa sababu ya mabadiliko katika uke kipindi cha ujauzito, ile acidic enviroment inayoekwa na hawa lactobacilli inapungua na kuwa alkaline inayoruhusu fungus kuishi. dalili zake ni kuwashwa ukeni, kutoka uchafu unaofanana na maziwa mgando, cudmilk like discharge.
fungus haichangii kuharibika kwa mimba.
sababu zanazosababisha mimba changa kuharibika ni:
kuwa una uvimbe ndani ya kizazi utakaoshindwa kuruhusu mimba kukua,
maambukizi ya magonjwa ya zinaa,
mama kuugua kama severa malaria na Tick born relapsing fever
kutumia dawa kama quinine wakati mwingine husababisha hili.
chromosomal abnormality kwa mimba iliyotungwa pia husababisha ikatoka, meaning chembe chembe zinazotengeneza mtoto kuwa na kasoro
luteo phase deficiency, ina maana hormone inayosaidia ujauzito kukua which is progesteerone wakati mwingine hupungua na kusababisha mimba kuharibika
pia research have shown that up to 78% of abortions cause can not be found however these people have chances of having successful futute pregnancies.
however, Tanzania bado hatujaweza kufanya mambo ya chromosomal checking including genetics hivyo nikushauri ukapimwe na dakatari atakapobaini tatizo atakutibu upasavyo.
 
thank you so much, be blessed.
 
Mtoto akiwa tumboni ni vigumu kupata maambukizi ya bacteria au hata fungus toka kwa mama! Baadhi ya ifection husababisha abortion kwa kusababisha uchungu kuanza kabla ya kipindi cha kujifungua kufika. Mfano wa hizo infection ni UTI, malaria, na magonjwa yanayoweza kumsababishia mama homa.
Baadhi ya maambukizi hasa ya virusi vya aina mbalimbali (sio lazima HIV pekee) pia husababisha kuharibika kwa mimba ama kwa kusababisha yule kiumbe kufia tumboni au kwa kusababisha matatizo ya kimaumbili ambayo ni hatari kwa kiumbe (congenital anomalies incompartible to life of the fetus).
Maambukizi ya fungus hutokea mara kwa mara kwa wajawazito na nivizuri ikatibiwa mapema kwa sababu huweza kusababisha mama akapata maambukizi hatari ya bacteria (secondary bacterial infection)
Kabla mama hajabeba mimba ni vizuri akamwona daktari mtaalamu wa magonjwa ya kina mama na uzazi (obstetrics and gynecologist) kwa ajili ya kufanya vipimo na uchunguzi wa awali (pre conceptional work up and screening) na mara baada ya kubeba mimba ni vizuri kuanza klinic mapema. Hii inasaidia sana kupunguza kuharibika kwa mimba kusikotarajiwa.
 
heshima kwenu wandugu.

nini chanzo cha fungus katikati ya mapaja (mpakani mwa tool na paja)

je fungus hizi zina uhusiano na magonjwa ya zinaa.

nini tiba yake dawa na tabia(kama kuna vitu vya kufanya ili kuepuka)

nategemea msaada wenu
 
husababishwa na uchafu pamoja na unyevunyevu katika kona ya paja.
Hakikisha wakati unaoga unasafisha vizuri sehemu hiyo iliyoathirika na kuikausha vizuri pia usivae chupi inayobana sana katika kona hiyo.
Pia jaribu kutumia hizi dawa za cream kwa ajili ya kuondoa fangasi.
 
heshima kwenu wandugu.

nini chanzo cha fungus katikati ya mapaja (mpakani mwa tool na paja)

je fungus hizi zina uhusiano na magonjwa ya zinaa.

nini tiba yake dawa na tabia(kama kuna vitu vya kufanya ili kuepuka)

nategemea msaada wenu
tiba ya dawa
quadraderm inauzwa 12oootsh iko poa
getroderm 3000tsh iko poa
whitefield 2500tsh iko bora
betamethasone 3000tsh iko safi
terbinofine 3000tsh jaribu
fluconazole wale walioko kwenye damu
ketoconazole 9000tsh iko safi
nystantin crem
 
Angalia usije ukawa na opportunistic infection, maana magonjwa nyemelezi hutengeneza mazingira ya Ukimwi
 
mkuu hizi dawa za kupata huwa zinachubua (cream type) so mwambie na jinsi ya kupaka. asije akapaka sana ikamchubua na ngozi lazima itakuwa laini after fungus infection.
ahsante

tiba ya dawa
quadraderm inauzwa 12oootsh iko poa
getroderm 3000tsh iko poa
whitefield 2500tsh iko bora
betamethasone 3000tsh iko safi
terbinofine 3000tsh jaribu
fluconazole wale walioko kwenye damu
ketoconazole 9000tsh iko safi
nystantin crem
 
Nilimsikiliza Dr mmoja kwenye radio,alikuwa anfundisha juu ya tatizo la fungus,
hasa kwa wanwake sehemu za siri kuwa tatizo hilo halina dawa za hospitali,
ila kwenye clinic yao ya natural herbs,je wataalam ndani ya JF kuna ukweli juu
ya hili?
 
duh! huyo si doctor ni mganga wa kienyeji. kwanini watu kama hao waletwe kwenye radio.? wanapotosha watu! mama fangus hutibika. kuna dawa za kupaka hata kunywa! na sasa kuna hata spray!! huyo mganga mkimbie kama ukimwi!
 
dawa za fangus zipo za hospitali tena nzuri na zina tibu mfano miconazoe,fluconazole, nystatin,candistat, huyo nadhani ni mganga wa kienyeji
 
Back
Top Bottom