Naona tuna tumia nguvu kutatua tatizo tulilo lisababisha wenyewe. Sikuzote tunasema vijana wajiajiri, tulitegemea watajiajiri wapi?
Njia rahisi ya kutatua tatizo hili, kwanza nikuwatambua machinga, tuwape nafasi wachague viongozi, wajiorodheshe na tuwape vitambulisho.
Tuwaruhusu wachague eneo lakufanyia kazi hatakama katikati ya barabara wapeni.
Baada ya hapo yukae na viongozi wao tujadili changamoto na wao watapeleka majawabu kwa wanachama au wanakikundi wenzao. Huwezi kukimbiza watu hovyo ukategemea mafanikio.
Nahitimisha, njia bora ya kumaliza tatizo na machinga ni kuwapa uhuru wa kuchagua viongozi wao na hao ndio wajadiliane na serikali changamoto zilizopo, viongozi ndio watabeba jukumu la kuwaondoa sehemu zisizo rafiki na zenye changamoto na sio polisi jkt wala mgambo wa jiji. Wahenga walisema mchawi mpe akulelee mwanao