Mkuu hiyo amri haitasaidia, alishindwa merry chipungahero, Ditopile Makonda sembese makala? Tuliwatengenezea hadi mobile courts yaani akidakwa miezi sita jela hata kisutu hafiki haikusaidia na hapo walikuwa wachache sembuse leo 60% ya wakazi ni machinga,
Sasahivi kila mtu ni TISS CIA KGB, mta ula wali wa mamalishe mmoja hangaya atapigiwa simu na ramafonsa akiulizwa kuna shida gani huko?