rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,360
- 26,244
We wish him a quick recovery
may god rest his carrier in ποΈππ π π π π πWe wish him a quick recovery
Kwa namna ulivyoandika, baadhi ya watu wanaweza kufikiri labda ni huyo Mzize pekee ndiyo amepunguza umri! Kumbe hilo ni tatizo sugu kwa wachezaji wengi wa nchi za ulimwengu wa tatu.Kuna kipindi kulikuwa na mjadala kuhusu umri wa Mzize, wapo waliosema ni mtoto au kijana wa miaka 20 na wengine wakasema amedanganya umri.
Majeraha aliyopata yameweka kila wazi kuhusu umri wake.
Angeenda zake Morocco yote yasingemkuta tatizo wachezaji wa kitanzania Simba na Yanga kwao ndio kila kitu.Kuna kipindi kulikuwa na mjadala kuhusu umri wa Mzize, wapo waliosema ni mtoto au kijana wa miaka 20 na wengine wakasema amedanganya umri.
Majeraha aliyopata yameweka kila wazi kuhusu umri wake.
Ni kwamba Yanga wameshindwa kumpeleka nje ya nchi kwa matibabu makubwa na ya uhakika zaidii??Huyu atakuwa ali_torn ACL....
Ni jeraha kubwa mno, usipopata matibabu stahiki career yako inaweza kuishia hapo... hasa hizi nchi zetu za Africa ambapo sekta ya afya ni changamoto sana ! Tumuombee arudi
Lakini kwa,mzinze anaweza kaa hata miaka 2 nje, kwa huduma za matibabu ya huku, mmmhLigament ni moja ya majeraha yananayo chelewa kupoma kwa wanamichezo inachukua zaidi ya miezi sita hadi 12 fatilia hata ulaya mfano ni Van Dijk alikaa nje msimu mzima
Sasa Ulaya ufananishe na huku? Na je huyo mzinze anatibiwa ulaya au huku? DuuuhHuyu Dembele unayemuona leo, aliondoka Barca sababu ya majeraha, alikuwa na majeraha yanayomuweka nje miezi mitatu hadi 6, msimu unaisha mechi 15 hajacheza. Na kumbuka kwamba huyu anacheza ulaya, sembuse huyu anayecheza Tanzania?