cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Hata Morocco angepata injuries, ila matibabu yake yangekua bora na uhakika, hivyo angepona mapema.Angeenda zake Morocco yote yasingemkuta tatizo wachezaji wa kitanzania Simba na Yanga kwao ndio kila kitu.
Hata akipona hataweza kuwa kwenye kiwango bora baada ya misimu miwili atapelekwa Singida kwa mkopo.
Amtafute Mrisho Ngasa.