Tatizo la majeraha ya Mzize kuchelewa ni sababu ya umri

Tatizo la majeraha ya Mzize kuchelewa ni sababu ya umri

Huyu atakuwa ali_torn ACL....

Ni jeraha kubwa mno, usipopata matibabu stahiki career yako inaweza kuishia hapo... hasa hizi nchi zetu za Africa ambapo sekta ya afya ni changamoto sana ! Tumuombee arudi
Atu hawaelewi wachezaji wengi ulaya wakisha torn acl hawarudi kuwa the same wengi hustaaafu mapema
 
Hamna uhusiano kati ya matitabu na umri..

Pengine hakupata matibabu sahihi au alipata lakini hakuuandaalizi ya kupona
 
Angeenda zake Morocco yote yasingemkuta tatizo wachezaji wa kitanzania Simba na Yanga kwao ndio kila kitu.
Hata akipona hataweza kuwa kwenye kiwango bora baada ya misimu miwili atapelekwa Singida kwa mkopo.
Amtafute Mrisho Ngasa.
Kama Aishi Manula na simba
 
Back
Top Bottom