Hata Morocco angepata injuries, ila matibabu yake yangekua bora na uhakika, hivyo angepona mapema.Angeenda zake Morocco yote yasingemkuta tatizo wachezaji wa kitanzania Simba na Yanga kwao ndio kila kitu.
Hata akipona hataweza kuwa kwenye kiwango bora baada ya misimu miwili atapelekwa Singida kwa mkopo.
Amtafute Mrisho Ngasa.
Ametibiwa south Africa huyo at least wapo advanced Dube pia aliwahi tibiwa huko kipindi yupo AzamLakini kwa,mzinze anaweza kaa hata miaka 2 nje, kwa huduma za matibabu ya huku, mmmh
Hata South pia bado bado, wajaribu kumpeleka Ulaya.Ametibiwa south Africa huyo at least wapo advanced Dube pia aliwahi tibiwa huko kipindi yupo Azam
Hapana wachezaji wengi wanadanganya umri, hata Michael Esien alipopata majeraha likaibuka swala la umri kuwa alidanganya ndio maaba maheraha yake kupona ikawa tatizo.Kwa namna ulivyoandika, baadhi ya watu wanaweza kufikiri labda ni huyo Mzize pekee ndiyo amepunguza umri! Kumbe hilo ni tatizo sugu kwa wachezaji wengi wa nchi za ulimwengu wa tatu.
Wampeleke kanda ya Ziwa kuna wataalamu wazuri wa tiba asiliaAmetibiwa south Africa huyo at least wapo advanced Dube pia aliwahi tibiwa huko kipindi yupo Azam
AsingepataHata Morocco angepata injuries, ila matibabu yake yangekua bora na uhakika, hivyo angepona mapema.
Kikongwe MzizeKuna kipindi kulikuwa na mjadala kuhusu umri wa Mzize, wapo waliosema ni mtoto au kijana wa miaka 20 na wengine wakasema amedanganya umri.
Majeraha aliyopata yameweka kila wazi kuhusu umri wake.
WamekusikiaWampeleke kanda ya Ziwa kuna wataalamu wazuri wa tiba asilia
Mkikaa vijiweni mnadanganyana kweli, Yanga imuachie Mayele na Azaz Ki ishindwe kuumuza Mzize?Hersi ana roho mbaya sana alimbania Mzize kwenda Morocco matokeo yake ndiyo haya kijana ameumaliza mwendo vibaya.
Kwanini asingepata??Asingepata
Hujui kituMkikaa vijiweni mnadanganyana kweli, Yanga imuachie Mayele na Azaz Ki ishindwe kuumuza Mzize?
Mayele na Aziz K wanajielewa lakini Mzize anapelekeshwa. Wenzake walifanya yanga sehemu ya kupita na sio kufika.Mkikaa vijiweni mnadanganyana kweli, Yanga imuachie Mayele na Azaz Ki ishindwe kuumuza Mzize?
Mkuu tatizo la waafrika kuchomekea umri halipo kwenye soka tu. Ni janga la kitaifa.Kuna kipindi kulikuwa na mjadala kuhusu umri wa Mzize, wapo waliosema ni mtoto au kijana wa miaka 20 na wengine wakasema amedanganya umri.
Majeraha aliyopata yameweka kila wazi kuhusu umri wake.
Club ndio ina amua kuumza mchezaji tuachane na manenoMayele na Aziz K wanajielewa lakini Mzize anapelekeshwa. Wenzake walifanya yanga sehemu ya kupita na sio kufika.
Afadhari nisijue kuliko kujua uongoHujui kitu
Hujui kitu.Afadhari nisijue kuliko kujua uongo
Nenda wewe basi nafasi yakeHujui kitu.