Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Sema tatizo la Maji Wilaya ya. Kinondoni Wala siyo nchini Maana Jana nimeenda Tandika Mbagala Mpaka mkuranga Maji mengi tu .Halafu tabia za Matatizo ya Dar es Salaam hasa Kinondoni kufanya janga la kitaifa mkome huku Tarime hatuna shida ya Maji na msitulazimishe tufanane . Mkome kabisaHivi haiwezekani kutumia teknolojia ya maji taka yote kwenye vyoo vyetu kwenye majiji yetu Yale maji taka yarudi kwenye mzunguko kwa kuyatreat ili yawe maji safi na Salama?
Kuna nchi moja nilitembelea ughaibuni mwenyeji wangu aliniambia wanatumia system hii ila sikumtilia maanani nilikuwa interested na mambo mengine kabisa, tena wao walivyo serious maji yao ya bomba hauchemshi ukichota bombani unakunywa ni safi na Salama kwa asimia 100.
Je, ni kweli teknolojia hii ipo? Na kama ipo tunasubili nini?
Ficha upumbavu wako.Sema tatizo la Maji Wilaya ya. Kinondoni Wala siyo nchini Maana Jana nimeenda Tandika Mbagala Mpaka mkuranga Maji mengi tu .Halafu tabia za Matatizo ya Dar es Salaam hasa Kinondoni kufanya janga la kitaifa mkome huku Tarime hatuna shida ya Maji na msitulazimishe tufanane . Mkome kabisa
Wewe unajua Jiji la DSM/Kinondoni inachangia kiasi gani cha pato la taifa? Na huko Mara/Tarime mnachangia kiasi gani!Sema tatizo la Maji Wilaya ya. Kinondoni Wala siyo nchini Maana Jana nimeenda Tandika Mbagala Mpaka mkuranga Maji mengi tu .Halafu tabia za Matatizo ya Dar es Salaam hasa Kinondoni kufanya janga la kitaifa mkome huku Tarime hatuna shida ya Maji na msitulazimishe tufanane . Mkome kabisa
Anajaribu kulinganisha sehemu wanayoishi NG'OMBE na binadamu.......Wewe unajua Jiji la DSM/Kinondoni inachangia kiasi gani cha pato la taifa? Na huko Mara/Tarime mnachangia kiasi gani!
Acha wana DSM walalamike kwa kuwa jiji lao ndiyo kitovu cha shughuli zote za kiuchumi nchini. Licha ya kuwa na wakazi wengi lakini pia shughuli zao za kiuchumi huchangia sehemu kubwa ya pato la taifa.
Waache kununua V8/VX/V12 za milioni 400 ,hizo fedha wachimbe visima na kuwe na dams za kuhifadhi maji ya mvua na maji ya visima(reservoirs).
Viongozi wana mishahara mikubwa gari wanunue zao, inakuwaje waziri apewe V12?
You made my evening🤣🤣🤣🙌🙌Sema tatizo la Maji Wilaya ya. Kinondoni Wala siyo nchini Maana Jana nimeenda Tandika Mbagala Mpaka mkuranga Maji mengi tu .Halafu tabia za Matatizo ya Dar es Salaam hasa Kinondoni kufanya janga la kitaifa mkome huku Tarime hatuna shida ya Maji na msitulazimishe tufanane . Mkome kabisa
MakasirikoSema tatizo la Maji Wilaya ya. Kinondoni Wala siyo nchini Maana Jana nimeenda Tandika Mbagala Mpaka mkuranga Maji mengi tu .Halafu tabia za Matatizo ya Dar es Salaam hasa Kinondoni kufanya janga la kitaifa mkome huku Tarime hatuna shida ya Maji na msitulazimishe tufanane . Mkome kabisa