Tatizo la Manchester United ni nini haswa?

Tatizo la Manchester United ni nini haswa?

Wachezaji wengi wa Man u ni immature, ujinga mwingi. Jana unaona kabisa mchezaji anajua mpira niupeleke wapi Halland afunge,huku kwa Manshit kila mtu anakazana kufunga yeye hata kama yuko kwenye mazingira magumu,kwa hapa ni zaidi ya mechi ya jana.
Man u bado haijawa na watu wa kazi kwenye maeneo yake karibia yote,wachezaji wako legelege tu. Imagine Gernacho anakutana na Walker😂😂😂 anafurukutaje kwa mfano? Usije sema mbona Messi mwili mdogo mambo makubwa? Yule ni level ya peke yake.
Majeruhi,pia naona kocha bado hajawa na maamuzi sahihi kwenye kupanga kikosi.
Sikutegemea Antony mbrazil aanze bench kwa mechi ya jana.
 
antony hachez mpira bali anachezea mpira
 
OT Ni training ground ya city [emoji23]
IMG-20231029-WA0049.jpg
 
Niliishawahi kusema .

Wenye makosa ni mashabiki wa England wanaodai wamelipia tiket season nzima. Eti lazima wakaangalie.

Muhafaka ni kuacha kuvaa jezi, kutoshiriki mechi .

Wafanyabiashara waoneshe tu hizo mechi matzo yatashuka atanunua tajiri kama muarab atanunua tim kirahisi
 
Hivi karibuni kumekuwa na hali ya kukera inayotokana na Manchester United kupoteza kwa mfululizo na malalamiko kutoka kwa wachezaji ambayo yamekithiri.

Kiundani sababu ya Manchester United kuwa hivi ni nini? Ni coach? Management? Sera? Wamiliki? Au ushindani wa EPL umekuwa mkubwa?

UPDATES:
Katika msimu huu wa mwaka 2023/24 Manchester United imecheza mechi 10 na kushinda mechi 5 tu na kupoteza mechi 5 zote.

Manchester ipo katika nafasi ya nane kati ya timu 20 zinazoshiriki ligi kuu ya English Premier League (EPL).

english premier league table
View attachment 2797739
Tatizo la Man U ni team Mbovu. Full stop.
 
KIla mtu star hakuna coordination...alafu MAGWAYAA analoga makochaaaa shenzi yuleeee
 
Timu ambayo haitaki kusajili wachezaji wa maana wameweka Uingereza mbele kwa kuwanunua bei ghali bila sababu yaani Utd ndo ya kulipa mileha kibao kwa Mount halafu unasubiria wachezaji wa mikopo timu iendee sasa ni bora liende bila mgomo wa mashabiki haitoboi
 
Yaani timu iwe mbovu kwa asilimia 100 kweli? 😂😂😂😂
Ile ilikua nini pale jana? squad yote hadi hadi ya chini ya begi ya kuvalia siku za sikukuu ilikua ndani on pitch lakini hakuna kitu, unataka sema nn
 
Back
Top Bottom