Tatizo la Manchester United ni nini haswa?

Tatizo la Manchester United ni nini haswa?

Ball intelligence + Comfortably hasa wakiwa under pressure.
Nawaza Kama mazoezi yao wanafanya kuendana na uhalisia wa mechi au ?
No off Standard ...wachezaji wa M.U hawana STD leo wako hivi kesho vile.

Timu haipo interconnected inavuja Kila Kona.
 
Hiyo timu mzee Fergie pekee ndo alikuwa anaijulia mfumo wake na alikuwa na upepo nayo.

Kidogo yule mzee muholanzi na yeye alijitahidi kuilindia heshima yake.

Kuna jambo inabidi lifanyike, si bure!
 
Back
Top Bottom