Tatizo la Manchester United ni nini haswa?

Wachezaji wengi wa Man u ni immature, ujinga mwingi. Jana unaona kabisa mchezaji anajua mpira niupeleke wapi Halland afunge,huku kwa Manshit kila mtu anakazana kufunga yeye hata kama yuko kwenye mazingira magumu,kwa hapa ni zaidi ya mechi ya jana.
Man u bado haijawa na watu wa kazi kwenye maeneo yake karibia yote,wachezaji wako legelege tu. Imagine Gernacho anakutana na WalkerπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ anafurukutaje kwa mfano? Usije sema mbona Messi mwili mdogo mambo makubwa? Yule ni level ya peke yake.
Majeruhi,pia naona kocha bado hajawa na maamuzi sahihi kwenye kupanga kikosi.
Sikutegemea Antony mbrazil aanze bench kwa mechi ya jana.
 
antony hachez mpira bali anachezea mpira
 
Niliishawahi kusema .

Wenye makosa ni mashabiki wa England wanaodai wamelipia tiket season nzima. Eti lazima wakaangalie.

Muhafaka ni kuacha kuvaa jezi, kutoshiriki mechi .

Wafanyabiashara waoneshe tu hizo mechi matzo yatashuka atanunua tajiri kama muarab atanunua tim kirahisi
 
Tatizo la Man U ni team Mbovu. Full stop.
 
KIla mtu star hakuna coordination...alafu MAGWAYAA analoga makochaaaa shenzi yuleeee
 
Timu ambayo haitaki kusajili wachezaji wa maana wameweka Uingereza mbele kwa kuwanunua bei ghali bila sababu yaani Utd ndo ya kulipa mileha kibao kwa Mount halafu unasubiria wachezaji wa mikopo timu iendee sasa ni bora liende bila mgomo wa mashabiki haitoboi
 
Rikiboy una shida na Maguire? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€yani magwaya kucheza first eleven hakuna sababu nyingine zaidi ya uchawiiii.
 
Yaani timu iwe mbovu kwa asilimia 100 kweli? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ile ilikua nini pale jana? squad yote hadi hadi ya chini ya begi ya kuvalia siku za sikukuu ilikua ndani on pitch lakini hakuna kitu, unataka sema nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…