meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,832
Tuna lundo la maprofesa nchini Tanzania lakini kwa takribani miaka 54 baada ya uhuru Tanzania hatukuwahi kuona maendeleo yenye tija na yenye kuakisi kazi za maprofesa hawa.
kwa kipindi cha miaka mitano tumeshuhudia maendeleo yaliyotokana na maamuzi ya kitanzania na yalioachana na kukariri njia za kuleta maendeleo ambazo zilundwa kwa maslahi ya walami.
Inashangaza kuendelea kuwa na maprofesa kasuku ambao wanadhani watanzania wa leo wanababaishwa na ung'eng'e pori wa kukariri.