Tatizo la maprofesa wa nchi hii ni kukariri na kukaririsha-By meningitis 2021

Tatizo la maprofesa wa nchi hii ni kukariri na kukaririsha-By meningitis 2021

Tuna lundo la maprofesa nchini Tanzania lakini kwa takribani miaka 54 baada ya uhuru Tanzania hatukuwahi kuona maendeleo yenye tija na yenye kuakisi kazi za maprofesa hawa.
kwa kipindi cha miaka mitano tumeshuhudia maendeleo yaliyotokana na maamuzi ya kitanzania na yalioachana na kukariri njia za kuleta maendeleo ambazo zilundwa kwa maslahi ya walami.

Inashangaza kuendelea kuwa na maprofesa kasuku ambao wanadhani watanzania wa leo wanababaishwa na ung'eng'e pori wa kukariri.

Kwani mkuu, kwenye hiyo miaka zaidi ya 54 ya Uhuru, ukiacha hao maprofesa, kuna kingine kipi cha maana na cha kushtua tulichokifanikisha ?
 
Kwani mkuu, kwenye hiyo miaka zaidi ya 54 ya Uhuru, ukiacha hao maprofesa, kuna kingine kipi cha maana na cha kushtua tulichokifanikisha ?
hakukuwa na cha maana kilichokamilishwa kwa kutumia rasilimali zetu
 
Back
Top Bottom