Tatizo la maprofesa wa nchi hii ni kukariri na kukaririsha-By meningitis 2021

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,832
Tuna lundo la maprofesa nchini Tanzania lakini kwa takribani miaka 54 baada ya uhuru Tanzania hatukuwahi kuona maendeleo yenye tija na yenye kuakisi kazi za maprofesa hawa.
kwa kipindi cha miaka mitano tumeshuhudia maendeleo yaliyotokana na maamuzi ya kitanzania na yalioachana na kukariri njia za kuleta maendeleo ambazo zilundwa kwa maslahi ya walami.

Inashangaza kuendelea kuwa na maprofesa kasuku ambao wanadhani watanzania wa leo wanababaishwa na ung'eng'e pori wa kukariri.
 
Kwa mtu ambaye hawajui anahisi ni watu waelewa sana kumbe wapi pumba tupu. Profesa wa kibongo ni sawa na TA (tutorial assistant) hapa ulaya.
 
Kwa mtu ambaye hawajui anahisi ni watu waelewa sana kumbe wapi pumba tupu. Profesa wa kibongo ni sawa na TA (tutorial assistant) hapa ulaya.
Kila kitu unasoma introduction to something eg Finance etc halafu aje akupe mawazo mbadala ya kusonga mbele kama Nchi na isitoshe hata degrees zake zote was sponsored by Impearists.
 
MATAGA mnapata wapi ujasiri huu wakukosoa watu tulio wazidi akili?
 
Sasa unatushaurije sisi tunaodhani kuwa ukiwa Professor ndo una mawazo ya kujenga na una mchango mkubwa ktk kujenga nchi??.
 

Ni kweli, sasa kipi kinakufanya upanick kwa profesa kuongea ukweli kidogo?
 
Umenikumbusha Prof Kabudi
 
Mataga wamebaki wakiwa.

Wanatapatapa wasijue la kufanya wala pa kushika.

Wamebaki kutukana kila anayesema ukweli kuhusu mapungufu ya mwendazake.

Vumilieni tu kutesa kwa zamu.

Kipindi mwendazake yupo hai watu mpaka risasi wamemiminiwa mataga mlishangilia kwa nguvu zote.

Now tulieni watu watapike nyongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…