Mm pia mkuu tatizo hili limenipata nikiwa A-Level now nasoma chuo cha mipango kwa mazingira magumu sanamiriam 111, Nimeona haya maelezo haya makelele masikioni Leo ingawa Ni maiaka mingi imepita. Pole lkn je uliisha Pona au kupata ufumbuzi...
Mimi pia ninna tatizo maumivu makali ya sikio, juzi nilienda kwa specialist wa E.N.T akaniambia tatizo langu limesababishwa na mafua ya mara kwa mara hivyo imesababisha sikio kujaa maji. Nimepewa dawa ila bado nasikia maumivuVipi hali yako ya pua, hupati mafua ya mara kwa mara.
Kitambo nikiwa mdogo nilikua natoka usaha masikio yote Ila sikuwahi kupelekwa hospital zaidi ya miti shamba bi mkubwa alipambana SanaMh! Bangi??? Hata km ni dawa simshauri, sikio ni kitu kngne, ukikosea kidogo ndo ushamtia mtoto uziwi. Nenda kwa wataalam wa ENT, achana na bangi imekaa kienyeji sana!
Mh! Bangi??? Hata km ni dawa simshauri, sikio ni kitu kngne, ukikosea kidogo ndo ushamtia mtoto uziwi. Nenda kwa wataalam wa ENT, achana na bangi imekaa kienyeji sana!
Mfano kwa mtoto pembeni ya sikio kunakijitobo,je kile kitobo kinamaanisha niniPole, usisumbuke na sikio, nenda ukacheki meno yako esp meno ya magigo. Hilo siyo tatizo la masikio utakuwa na meno yametoboka. Pole sana kwa kudanganywa na watalaamu. Nina uhakika ya hiki nilichoandika!!
Tena uende ucheki mapema kwani infection ya meno kutoboka isije fika kwenye ubongo. Tafuta mtalasm mzuri wa meno kwa dar pale kariakoo yupo jamaa mmoja hospital ya AAR ni mzuri sana ingawa sina hakika kama bado yupo, otherwise kuepuka complications za meno unaweza meza antibiotic before kwenda kuong'oa. All the best!
Dada nipatie namba yako tafadhariJamani asanten sana kwa vile mnaonesha kunijali na kunitia moyo katika hili nnalopitia! Natambua mchango wenu na nauheshimu pia
Mungu wangu azidi pia kuwafanikisha katika njia zenuM
Jamani asanten sana kwa vile mnaonesha kunijali na kunitia moyo katika hili nnalopitia! Natambua mchango wenu na nauheshimu pia
Mungu wangu azidi pia kuwafanikisha katika njia zenu