Utapona kwa uwezo wake Mwenyeezi Mungu inshallah.....Mh!kama kweli nitapona doctor mtimkavu nitashuru na nitakupm.asante sana
Kuna majani ukiyagusa yananywea....DON'T TOUCH ME/TOUCH ME NOT
Sasa mtu amekwambia dawa za kienyeji au kuna ma ENT wa kienyeji ?. Waacheni washirikina wawazike washirikina wenzao.Mwoneni ENT specialist ili kujua tatizo ni nini?