Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Sikio lako linauma badala ya wewe kwenda hospitali unaulizia dawa hapa? Nenda kamuone Daktari akupime ili ajuwe kwanini sikio lako lina uvimbe kwa ndani.@James norbet?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwone Dr Ole Lengine, wa Ekenywa hospital Magomeni. Ni ENT specialist (Dr Bingwa)
Mkuu embu funguka make huwa nakusoma ukipiga promo.Magomeni Mikumi, unaingilia pale kwa Sheikh Yahaya unanyosha kama mita 300 hivi utaona kibao cha hospital hiyo
Jambo la kwanza ni kuwa usizibe sikio na pamba.Jambo la pia ni kufanya ear mopping au kulipiga deki sikio nayo ni kuhakikisha unalisafaisha na pamba safi kila baada ya muda ili liwe kavu.Unaweza kutumia dawa inayoitwa boric acid ear drops lakini kama unakaa Dar muone ENT specialist atakusaidia.Fanya hivyo kwa wiki moja na nijulishe matokeo.Pole sana.Mtoto wangu ana tatizo la kutokwa na uchafu mithili ya usaha sikion na unakuwa na harufu mbaya.Na kuna mda huwa analia akilalamika maumivu.Wana jf, nijuzeni tatizo ni nini na wapi naweza pata tiba nzuri ya tatizo la mwanangu.Nawasilisha
Mkuu Mchaka Mchaka hayo mafuta ya kuku nitayapata wapi na yanatumikaje (dose)!
Ukipika kuku (hasa aliyenona) maji yakikauka yatabaki mafuta, usiweke mafuta mengine sijui Korie nk, mpike kuku pekee mwishoni atatoa mafuta. Mimina hayo mafuta kwenye chombo kisafi. Kila asubuhi na jioni yapashe kidogo (kwa kuwa yakikaa muda mrefu yanaganda),mwekee mtoto matone kadhaa 2-3.Mkuu Mchaka Mchaka hayo mafuta ya kuku nitayapata wapi na yanatumikaje (dose)!