Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
sikio lilianza kuwasha sana, kwa sasa linatoa majimaji likiambatana na maumivu fulani hv pamoja kuvimba kwa ndani, nini tatizo na dawa yake ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habar ya jioni polen na majukumu.
Nahitaji kujua dawa ya kutibu sikio linalotoa usaha. Hali hii inamsumbua mdogo angu ana miaka minne (4). Anasumbuliwa mda mrefu karibu miezi mi3 inaisha now katumia dawa za hosptal majina sijazishika. Kuna dawa katoka kumalizia wiki hii aina ya Amoxicilin. Bado tatito halijaisha. Msaada tafadhali.
Mkuu MziziMkavu mimi nilishawahi kupost humu JF kuhusu tatizo kama hili kwa mtoto wangu wa 7yrs,tumeshatibiwa ktk hospitali mbalimbali hapa Dar bila mafanikio na mara ya mwisho tuliishia TMJ ambapo baada ya kuonana na specialist alitupa dawa na kutuambia kuwa hataweza kupona zaidi ya kusubiri mpaka atakapotimiza miaka 16 ili afanyiwe operashion,sasa ngoja nijaribu huu utaalamu wako nione matokeo yake.Sikio (Ear) limegawika katika sehemu tatu kuu. Sehemu ya nje ya sikio, sehemu ya kati ya sikio na sehemu ya ndani ya sikio.
Kuna aina mbili ya matatizo ya masikio nayo ni:
Otitis media : ambayo hutokea katika sehemu ya kati ya sikio na mara nyingi huwatokea watoto wachanga
na watoto wadogo.
Otitis externa: ambayo hutokea katika sehemu ya ndani ya sikio na mara nyingi huwatokea waogeleaji, na
hutokea zaidi wakati wa baridi.
Ishara za Matatizo ya masikio kwa Otitis media:
Kuumwa na kuchomwa kwa sikio
Kutokwa na uchafu ndani ya sikio
Kutosikia kwa ghafla
Homa
Sababu za Otitis media:
Sababu kubwa ya maradhi hayo ni kuziba kwa bomba la sikio(Eustachiantube)
kutokana na baridi, allergy pamoja na kuingia takataka. Hii inababisha maji maji ya sikio kujaa maji hayo
nayo husababisha uvimbaji wa (ear drum) sikio.
Sababu za Otitis externa:
Hii husababishwa na baketeria au fungi, maji maji yanayoingia ndani ya sikio ndio sababu kuu ya kufanya
bakteria na fungi kuzaana pia Skin allegies husababisha maradhi hayo.
Na sababu nyengine ni ulaji mbovu wa chakula pamoja na upungufu wa usafi wa mwili.
DAWA ZA KUJITIBU MARADHI YA MASIKIO:
Nyunyiza juisi ya Kitunguu saumu katika sikio linalouma
Nenda Hospitali ukapigwe bomba ili maji na uchafu upate kutoka
Pasha moto mafuta ya Zaituni (Olive oil) na yasubiri yapowe
na ujitie drops mbili hadi 3
Na usafishe masikio yako kila baada ya kutoka kukoga.
KUTOKWA NA USAHA SIKIONI: Ikiwa utaweka kitu kama ujiti wa kiberiti au mfano wake sikioni, unaweza kusababisha jeraha kwenye sikio na damu kuanza kutoka. Baadae usaha unaweza kutungwa sehemu ya jeraha na kutoka kidogokidogo. Lakini pia mashambulizi ya bacteria sikioni yanaweza kusababisha kutokwa na usaha.
TIBA ZA MAUMIVU YA MASIKIO NA KUTOKWA NA USAHA:Kanuni ya kwanza: Chukua maji masafi ujazo wa kijiko kimoja cha chai halafu uchukue chumvi kidogo kiasi cha vidole viwili uchanganye ndani ya maji hayo kisha hayo maji uchanganye na asali kijiko kimoja kidogo cha chai. Weka tone moja ya dawa hii ndani ya sikio
lenye kuuma au kutokwa na usaha kutwa mara tatu. Kanuni ya pili: Dondoshea tone moja ya mafuta ya kitunguu saumu ndani ya sikio ambalo linauma au kutokwa na usaha kutwa mara tatu.. Kanuni ya tatu: Chukua mafuta ya habat soda na ufanye kama kanuni ya pili.
Kanuni ya nne: Ikiwa maradhi ya sikio ni kwa ajili ya bacteria, kunywa antibayotiki asilia kama vile juisi ya Aloe vera, kitunguu saumu, n.k. E.
Habar ya jioni polen na majukumu.
Nahitaji kujua dawa ya kutibu sikio linalotoa usaha. Hali hii inamsumbua mdogo angu ana miaka minne (4). Anasumbuliwa mda mrefu karibu miezi mi3 inaisha now katumia dawa za hosptal majina sijazishika. Kuna dawa katoka kumalizia wiki hii aina ya Amoxicilin. Bado tatito halijaisha. Msaada tafadhali.
Hata mm hili tatizo ninalo nimetumia dawa za kila aina za kisasa na za kienyeji sijapona. Mfano nikifumba mdono nakuziba pua nikasukuma kwa nguvu hewa hutokea kwenye hilo sikio bovu. Na hilo sikio linatatizo la kusikia, nikiziba hili zima nasikia kwa mbali sana.
Mkuu hawa Prof Moshi au huyo Dr.Enika wanapatikana wapi,kama una namba zao ningeomba utuwekee.Ishakuwa CHRONIC OTITIS MEDIA, jiyahdin asije akapata Permanent Deafness, kama uko Dar Mlete kwa Dr Enika au Prof Moshi Atapona, huko kwingne wanamchezea Tu, 3 Months Discharging??? Cant be Serious
Sikio (Ear) limegawika katika sehemu tatu kuu. Sehemu ya nje ya sikio, sehemu ya kati ya sikio na sehemu ya ndani ya sikio.
Kuna aina mbili ya matatizo ya masikio nayo ni:
Otitis media : ambayo hutokea katika sehemu ya kati ya sikio na mara nyingi huwatokea watoto wachanga
na watoto wadogo.
Otitis externa: ambayo hutokea katika sehemu ya ndani ya sikio na mara nyingi huwatokea waogeleaji, na
hutokea zaidi wakati wa baridi.
Ishara za Matatizo ya masikio kwa Otitis media:
Kuumwa na kuchomwa kwa sikio
Kutokwa na uchafu ndani ya sikio
Kutosikia kwa ghafla
Homa
Sababu za Otitis media:
Sababu kubwa ya maradhi hayo ni kuziba kwa bomba la sikio(Eustachiantube)
kutokana na baridi, allergy pamoja na kuingia takataka. Hii inababisha maji maji ya sikio kujaa maji hayo
nayo husababisha uvimbaji wa (ear drum) sikio.
Sababu za Otitis externa:
Hii husababishwa na baketeria au fungi, maji maji yanayoingia ndani ya sikio ndio sababu kuu ya kufanya
bakteria na fungi kuzaana pia Skin allegies husababisha maradhi hayo.
Na sababu nyengine ni ulaji mbovu wa chakula pamoja na upungufu wa usafi wa mwili.
DAWA ZA KUJITIBU MARADHI YA MASIKIO:
Nyunyiza juisi ya Kitunguu saumu katika sikio linalouma
Nenda Hospitali ukapigwe bomba ili maji na uchafu upate kutoka
Pasha moto mafuta ya Zaituni (Olive oil) na yasubiri yapowe
na ujitie drops mbili hadi 3
Na usafishe masikio yako kila baada ya kutoka kukoga.
KUTOKWA NA USAHA SIKIONI: Ikiwa utaweka kitu kama ujiti wa kiberiti au mfano wake sikioni, unaweza kusababisha jeraha kwenye sikio na damu kuanza kutoka. Baadae usaha unaweza kutungwa sehemu ya jeraha na kutoka kidogokidogo. Lakini pia mashambulizi ya bacteria sikioni yanaweza kusababisha kutokwa na usaha.
TIBA ZA MAUMIVU YA MASIKIO NA KUTOKWA NA USAHA:Kanuni ya kwanza: Chukua maji masafi ujazo wa kijiko kimoja cha chai halafu uchukue chumvi kidogo kiasi cha vidole viwili uchanganye ndani ya maji hayo kisha hayo maji uchanganye na asali kijiko kimoja kidogo cha chai. Weka tone moja ya dawa hii ndani ya sikio
lenye kuuma au kutokwa na usaha kutwa mara tatu. Kanuni ya pili: Dondoshea tone moja ya mafuta ya kitunguu saumu ndani ya sikio ambalo linauma au kutokwa na usaha kutwa mara tatu.. Kanuni ya tatu: Chukua mafuta ya habat soda na ufanye kama kanuni ya pili.
Kanuni ya nne: Ikiwa maradhi ya sikio ni kwa ajili ya bacteria, kunywa antibayotiki asilia kama vile juisi ya Aloe vera, kitunguu saumu, n.k. E.
pole sana mtoa mada, kiukweli tunatatizo makubwa ya wataalam wa masikio(audiologists), mahospitalini, ushauri wa mzizimkavu nisingekushauri sana uutumie kabla ya kwenda kufanyiwa uchunguzi wa kitaalamu, kwani pigaji wa bomba unahitaji utalam mkubwa kwani uwezekano wakuku tia ukiziwi ni mkubwa sana. Ushauri wangu nenda CCBRT dar , au kamakunakituchochote cha wanafunzi wasio na usikivu nenda hapo huwa navifaa na wataalamu wa upimaji na watakueleza kama ugonjwa wako ni aina gani, unatibika au laa,.epuka kuweka dawa yoyote sikioni endapo ujapata vipimo. uwezekano wa kuuasikio ni mkubwa.
Ishakuwa CHRONIC OTITIS MEDIA, jiyahdin asije akapata Permanent Deafness, kama uko Dar Mlete kwa Dr Enika au Prof Moshi Atapona, huko kwingne wanamchezea Tu, 3 Months Discharging??? Cant be Serious
Chukua majani ya bangi mbichi wweka maji kidogo sana halafu kamua ndani ya sikio matone matatu atapona