Tatizo la maumbile ya kiume madogo sana linanitesa sana

Cha kunifurahisha n kwamba wadada ndo wanaomfariji.
Inchi 2 na unaambiwa ujikubali!!. Ifike mahala tumchane mtu laivu.

Broooooo tafta tiba. Hio iko abnormal kabisa
Utamu wa mwanamke upo juu kwenye kisimi wala sio ndani, ndio maana tunamfariji, yeye awe mtundu tu kumuandaa mwenza wake vizuri romance kwa sana asiwe na papara, akiweza kumchezea pale juu mwanamke akamaliza, hapo na yeye aingie ndani amalize wote wanabaki na furaha zao na watoto juu.
 
Bado hujamsaidia asee.
Hicho umekisemea kisimi...... What about G spot. Anaifikiaje kwa io inch 2
 
Kuna namna inapatikana kwa uume, tena vzr tu.
Ikumbukwe kuna wengine hawapend kupigwa dole.
Mwanamke hupata utamu zaidi hadi kufika kileleni nje sio ndani, ndio maana wanawake wengi wanalalamika hawajawahi kufika kileleni tangu wazaliwe kumbe mnawang'ang'aniza kuwaingiza midude yenu mikubwa wanaumia ila wana act kama wana enjoy,

Huyo jamaa akiwa hana papara na akajiamini wanawake watakua wanapanga foleni kwake,
[emoji1]
 
Unajitahid sana kuitetea hoja yako dr. Lets assume umeshinda.
 
Back
Top Bottom