mr vata
JF-Expert Member
- Jan 30, 2017
- 465
- 616
Tatizo au malalamiko kuhusu vibamia siku hizi ni wimbo wa taifa, lkn kwa maoni yangu ni kwamba chanzo cha yote hayo ni uvivu wa sisi wanaume. Kama una uume ambao sio mkubwa sana yaan ule wa wa inch 5 au chini ya hapo halafu ukashindwa kumridhisha mwanamke yeye atalalamikia udogo wa uume lkn kumbe shida ipo kwenye matumizi. Muda tunaoutumia pale juu ni mchache sana na tunashindwa kuficha huu udhaifu kwa kubuni utundu ambao utamfanya mwanamke akojoe kabla. Mwanamke akiguswa tu na mikono ya jinsia tofauti zile sehemu hatarishi ni lazima hisia zake zitabadilika. Kama unajijua hauna pumzi ya kutosha au unawahi kumaliza piga show kubwa ya utangulizi. Vitu kama kumfanyia full body massage mwanamke... Kama utamfanyia vzr hii massage mpaka unamaliza mwanamke anakua ameshakojoa hasa ukijua kuifanya kwenye kile kiungo cha kati, kwenye mapaja kwa ndani na kwenye maziwa na pia kujua kutumia vzr ulimi kwenye viungo vya msisimko vya mwanamke. Lkn kubwa zaidi tukumbuke kuwa wasafi. Suala la kunuka mdomo, kunuka pumbu, kuwa na harufu mbaya ya jasho na mengine mengi kama hayo kiukweli yanakata sana stimu unakuta kijana smart kwa mavazi ya nje lkn anavaa boksa moja siku tatu. Kitu kingine wanaume tuache ubinafsi kwenye lile tendo, tunalipua sana sana ndio maana tunalalamikiwa. Mwisho ni suala la kutopenda mazoezi, mwisho wa siku unahangaika na vumbi la kongo ili umridhishe mwanamke wako, guys mazoezi hayaongopi hata kidogo. Fanya mazoezi yawe sehemu yako ya maisha utaona mabadiliko makubwa kwenye mwili wako. Mwanaume ni lazima uzoee mazoezi.
Sent from my TECNO SA1 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO SA1 using JamiiForums mobile app