Tatizo la maumbile ya kiume madogo sana linanitesa sana

Tatizo la maumbile ya kiume madogo sana linanitesa sana

kilichokuchekesha ni nini mkuu !!!

unacheka uvivu wake wa kujiumbia inches mbili wakati wewe ulijiumbia au unaweza kupunguza au kuongeza maumbile yako !!

unajua hadi anafika hapa kuomba ushauri na kuweka aibu yake hapa imemchukua ujasiri kiasi gani ??

umefikiria impact ya neno uliloliandika hapa katika akili ya huyu jamaa, vipi kama anafikiria kujidhuru na labda amekuja kupata ahueni hapa na anakutana na comment kama yako

Je, akifanya chochote kibaya hautokuwa sehemu ya waliochangia ??.

sikuhukumu maana ni sawa kuwa realistic lakini sometimes inabidi tujitahidi kupima matokeo ya maneno yetu mkuu
Nchi 2 unaijua?
 
Ole wako siku unaenda unakuta tunda lako halipo[emoji23][emoji23]

Mkuu nakwambia huko kijijini kwetu kuna jamaa alifanya hivyo, alienda akakuta matunda yote yamechanjwa na wahuni, ilibidi atoe matunda yote kwenye mti[emoji851][emoji851]
 
Vijana wakiona kina mandingo huko x video wanajua kuwa ukiwa na uume mkubwa ndo kila kitu.
Level ya kujiamin hata nitembeapo barabaran ma mandingo yangu imetuna huwa ni ya juu..yaan burudan kabisa..achen kudanganya wenzenu nyie
 
Mkuu pole sana, ukiwa unapiga game hebu jaribu kumkunja mwenza wako kwa style ya chura kaenda msibani huenda ikawa na matokeo mazuri.
 
Kwa namna moja au ingine naweza kuikubali hii theory..
Mimi nna inch 6 ikiwa full erected hapo ni imesimama tu yenyewe!!!
Nikiwa nasex nikaunga goli ile staili napiga tako nikihis wazungu wanakuja natulia baada ya sekunde 40 naendelea.

Nikifanya hivyo kisha nikipiga hizo goli 2 baadae demu ameondoka nikiishtua nikapia iko inch 7....

Nikikaa siku 2 bila kutooo nikiipima inarud 6inch.

Nilichogundua ubo ni masozi kama tuu mtu anaepiga jimu ajazie mikono.

Ukiacha misuli inapungua
Memba wa chaputa akijifarij
 
Mkuu nakwambia huko kijijini kwetu kuna jamaa alifanya hivyo, alienda akakuta matunda yote yamechanjwa na wahuni, ilibidi atoe matunda yote kwenye mti[emoji851][emoji851]
[emoji23][emoji23] ko apo dude linagrow non stop?
 
Utamu wa mwanamke upo juu kwenye kisimi wala sio ndani, ndio maana tunamfariji, yeye awe mtundu tu kumuandaa mwenza wake vizuri romance kwa sana asiwe na papara, akiweza kumchezea pale juu mwanamke akamaliza, hapo na yeye aingie ndani amalize wote wanabaki na furaha zao na watoto juu.
Mwambie kwani wasagaji wana nchi ngap? Mbona wanavunja hadi ndoa
 
Acha kumuibia mwenzio huo mti wa hiyo dawa unaitwa myegea (Kigelia Africana) utafute Popote ulipo inapatikana. Ukiupata tafuta tunda lake changa (huo mti unazaa matunda marefu kama matango ila hayaliwi) liweke alama, halafu lichanje litatoa utomvu. Ule utomvu jichanje kwenye uume wako na upakae, na baada ya hapo utakuwa unaangalia jinsi uume unavyoongezeka mpaka saizi uitakayo then unarudi kwenye ule mti wa myegea na kukata lile tunda ulilochanjia. Hiki ndicho babu yangu, mganga maarufu wa enzi hizo, alivyonifundisha.

Mnyegea? Ndo ile dodoki au? Je mti ukikatika au akaja mtu akaukata?
 
Kwa namna moja au ingine naweza kuikubali hii theory..
Mimi nna inch 6 ikiwa full erected hapo ni imesimama tu yenyewe!!!
Nikiwa nasex nikaunga goli ile staili napiga tako nikihis wazungu wanakuja natulia baada ya sekunde 40 naendelea.

Nikifanya hivyo kisha nikipiga hizo goli 2 baadae demu ameondoka nikiishtua nikapia iko inch 7....

Nikikaa siku 2 bila kutooo nikiipima inarud 6inch.

Nilichogundua ubo ni masozi kama tuu mtu anaepiga jimu ajazie mikono.

Ukiacha misuli inapungua

Kwa hiyo unashauri, tutoooooo sana? au nyeto nayo inarefusha?
 
Aisee, duh kakaa. Kweli iyo ni ndg. Sema naomba nikuulize swali 1 la kizushi, ushawah kusex Mara ngp maishan mwako?. Ukute ata hujawah ndo mn haikui hiyo,, iko pale pale tu.

Alafu kingine ni haya
1) kuwa na mwanamke ambaye ataikubali Hali yako ww ivyo ulivyo.
2) kbl hujaingia kwa mahusiano, mueleze ukweli huyo mschana kuwa mimi Niko ivi na ivi, je utanikubali?. Sio mnaingia chumbn uko uchi mnaanza kukimbiana na kukutangaza juu.
3). Jiamni pale unapokuwa sita kwa 6 na huyo umpendaye, usiwe muoga wala usiwe na mawazo kuwa atanionaje akiniona ivi. Anza maandalizo mazuri kbs kbl ya tendo. Nilisema maandalizi mazuri nadhani unayafahamu, yale ambayo unaweza mfikisha mwanamke kbl ata hujamuingilia kimwili.
4) Tuseme tu ukweli most ya wanaume wa siku hz hawajui kuandaa, Wana pupa Sana Sana wakifika kwa bed. Yani wako ovyo. Unaweza ukawa na iyo kitu ndogo, ako nasema inch 2 lkn ukamridhisha mwanamke vzr sn kuliko ata yule mwenye gobole
5) punguza kutokujiamini. Inaonekan ww tatizo lako haujiamini ndy maana. Jiamni kuwa ww ni kidume na unaweza kuwa na mahusiano km watu wengine. Haina aja ya kujiogopa. Kwnn uogope kutongoza?. Na ww una haki ya kupendwa km wengine
6) Cha mwisho, Mimi sikushauri utumie ayo madawa ya kuongeza uume, utaja Lia likiongezeka stage ambayo wadada watakukimbia. Jikubali jinsi ulivyo ww kama ww, acha uoga.
7) Tafuta pesa, Kila kitu kinawezekana. [emoji108]

Hivi yanaongezekaga kweli au ni stories tuu?
 
Utamu wa mwanamke upo juu kwenye kisimi wala sio ndani, ndio maana tunamfariji, yeye awe mtundu tu kumuandaa mwenza wake vizuri romance kwa sana asiwe na papara, akiweza kumchezea pale juu mwanamke akamaliza, hapo na yeye aingie ndani amalize wote wanabaki na furaha zao na watoto juu.
Uko vzr mpnz wanaume hpo inaonekana hawachomoki
 
Utamu wa mwanamke upo juu kwenye kisimi wala sio ndani, ndio maana tunamfariji, yeye awe mtundu tu kumuandaa mwenza wake vizuri romance kwa sana asiwe na papara, akiweza kumchezea pale juu mwanamke akamaliza, hapo na yeye aingie ndani amalize wote wanabaki na furaha zao na watoto juu.
Weeh ndani pia kuna raha, baada ya kueachezea kisimi mbona huwa mnasema ingiza ingiza hahahaha mnakuwa mnataka nini? Tena
 
Homeboy relax, jivunie na ulichonacho usikitoe, Mwenyezi Mungu ni fundi mwaminifu, alikujua kabla hujazaliwa na hivyo anamjua mwenza wako wewe kabla wewe hujamjua. Amemjua kuwa mtae dana nae bro! Hata wanaojifanya kucheka hapa ni siri zao, mm mwenyewe najijua. Be comfortable usidanganywe humu ndani utaibiwa. Watajifanya watalamu kumbe hawajui kitu. Watakuharibu zaidi.

Umenielewa bro!!!!
 
Back
Top Bottom