Hili tatizo linaitwa premature ejaculation na likikua huwa impotence (uume kushindwa kusimama).Nasumbuliwa na tatizo la kuwahi kufika kileleni kwa haraka sana pamoja na uume kuwa mlegevu.
Baada kuhangika sana madawa ya kila aina nikaamua kujaribu hii dawa wanaiita vumbi la congo, Kwa kweli haikuleta majibu mazuri. Ila nimeweza kupata matokea haya matatu kwa mida tofauti.
Mda mwengine nawahi kukojoa hata kama nimepaka
Mda mwengine nikishapaka uume unapoteza nguvu kabisa na kulala
Lakini mda mwengine hua unasimama ila unakua na maumivu sana, Nikiingiza ndani ya uke napata maumivu, na hata akiushika kwa mkono nahisi maumivi pia
Sasa hili la maumivu naomba kujua sababu hasa ni nini kwa wenye uzoefu naomba mawazo yenu wakuu.
Mungu hasaidii wanaotumia vumbi la Congo!Duuh pole mkuu mungu akusaidie upone [emoji120][emoji120]
Achana na stress, kitokujiamini, na mlo mbovu kaka...Nasumbuliwa na tatizo la kuwahi kufika kileleni kwa haraka sana pamoja na uume kuwa mlegevu.
Baada kuhangika sana madawa ya kila aina nikaamua kujaribu hii dawa wanaiita vumbi la congo, Kwa kweli haikuleta majibu mazuri. Ila nimeweza kupata matokea haya matatu kwa mida tofauti.
Mda mwengine nawahi kukojoa hata kama nimepaka
Mda mwengine nikishapaka uume unapoteza nguvu kabisa na kulala
Lakini mda mwengine hua unasimama ila unakua na maumivu sana, Nikiingiza ndani ya uke napata maumivu, na hata akiushika kwa mkono nahisi maumivi pia
Sasa hili la maumivu naomba kujua sababu hasa ni nini kwa wenye uzoefu naomba mawazo yenu wakuu.
Kitu cha kwanza elewa wanaotumia vumbi la kongo hawana tatzo la kusimamisha (wewe unalo). Wanaotumia vumbi ni ili wachelewe kufika kileleni basi na hakuna raha yoyote.Nasumbuliwa na tatizo la kuwahi kufika kileleni kwa haraka sana pamoja na uume kuwa mlegevu.
Baada kuhangika sana madawa ya kila aina nikaamua kujaribu hii dawa wanaiita vumbi la congo, Kwa kweli haikuleta majibu mazuri. Ila nimeweza kupata matokea haya matatu kwa mida tofauti.
Mda mwengine nawahi kukojoa hata kama nimepaka
Mda mwengine nikishapaka uume unapoteza nguvu kabisa na kulala
Lakini mda mwengine hua unasimama ila unakua na maumivu sana, Nikiingiza ndani ya uke napata maumivu, na hata akiushika kwa mkono nahisi maumivi pia
Sasa hili la maumivu naomba kujua sababu hasa ni nini kwa wenye uzoefu naomba mawazo yenu wakuu.
Kweli kabisa.Mungu hasaidii wanaotumia vumbi la Congo!
nakushauri, kwanza jikubali, pili take things easy, kwasababu kiukweli mwenza wako anaweza asikuvumilie hivyo jiandae kwa lolote, omba Mungu akuponye, ila uwe makini na hayo madawa ya kienyeji, utakuja kukatika kabisa uwe na kipapa.Nasumbuliwa na tatizo la kuwahi kufika kileleni kwa haraka sana pamoja na uume kuwa mlegevu.
Baada kuhangika sana madawa ya kila aina nikaamua kujaribu hii dawa wanaiita vumbi la congo, Kwa kweli haikuleta majibu mazuri. Ila nimeweza kupata matokea haya matatu kwa mida tofauti.
Mda mwengine nawahi kukojoa hata kama nimepaka
Mda mwengine nikishapaka uume unapoteza nguvu kabisa na kulala
Lakini mda mwengine hua unasimama ila unakua na maumivu sana, Nikiingiza ndani ya uke napata maumivu, na hata akiushika kwa mkono nahisi maumivi pia
Sasa hili la maumivu naomba kujua sababu hasa ni nini kwa wenye uzoefu naomba mawazo yenu wakuu.
Punyeto haileti hii hali moja kwa moja, punyeto huadhiri akili/saikolojia nakuleta urahibu na kupenda haina fulani ya wanawake. Tutumie akili ya kawaida ukitumia mikono sana kupiga kazi lazima misuli ya mikono itakua imara na sio kwamba itakua dhaifu. Ok turudi kwenye sayansi utendaji wa korodani kuzalisha manii hutegemea na mtu kadiri anavyotoa manii yaani "the more it used the more it produced."Una tatizo lililotokana na kuathirika kwa kupiga punyeto ambapo umefikia ile ahatua iitwayo "Addiction/Uraibu"
Ushauri wangu waone wataalamu wakusaidie haraka iwezekanavyo.
Dawa ya punyeto ni kufunga na kuomba sana maana kuna mapepo yaliyojikita hiyo sehemu kupitia hii mitandao ya kijamii kama porn stars, pornography.
Ukiaweza kuanza, pia unaweza kumaliza, yani kila chenye mwqnzo, basi lazima kiwe na mwisho.
Acha nyeto utakuja ufe...enewei unafanyaga mazoezi ata kwa wiki mara 1? Mazoezi ya kukimbia
Una tatizo lililotokana na kuathirika kwa kupiga punyeto ambapo umefikia ile ahatua iitwayo "Addiction/Uraibu"
Ushauri wangu waone wataalamu wakusaidie haraka iwezekanavyo.
Dawa ya punyeto ni kufunga na kuomba sana maana kuna mapepo yaliyojikita hiyo sehemu kupitia hii mitandao ya kijamii kama porn stars, pornography.
Ukiaweza kuanza, pia unaweza kumaliza, yani kila chenye mwqnzo, basi lazima kiwe na mwisho.
Kwanza ku hangaika na hayo matiba ya kuboost ndio unajimaliza kabisa ani kama hujui, Sabu kiungo unakifanya kua tegemezi wakati kimeumbwa kujitegemea kutokana na internal feelings za ubongo wako na sio mavumbi ya mkongo.
Je zamani ulikua fit? Au umezaliwa hivyo? Unapiga nyetoo?
Eti "madawa ya kienyeji"nakushauri, kwanza jikubali, pili take things easy, kwasababu kiukweli mwenza wako anaweza asikuvumilie hivyo jiandae kwa lolote, omba Mungu akuponye, ila uwe makini na hayo madawa ya kienyeji, utakuja kukatika kabisa uwe na kipapa.
Hayajakukuta tu mkuuMungu hasaidii wanaotumia vumbi la Congo!