Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
Kisukari type ile ya mwisho, baba mkubwa RIP alikua hivyo mdomo unakaa upande ila hakua na stroke kisukari kilimpiga balaaInaweza kuwa kiharusi/stroke au kupooza kwa mishipa ya fahamu eneo hilo.
Sio kisukari.Hiyo ni stroke.Baba yako mkubwa RIP alipata kiharusi.Ukiwa na kisukari kisichotibiwa kupata stroke ni very common.Kisukari type ile ya mwisho, baba mkubwa RIP alikua hivyo mdomo unakaa upande ila hakua na stroke kisukari kilimpiga balaa
Kisukari mkuu haikua stroke labda stroke ya mdomoSio kisukari.Hiyo ni stroke.Baba yako mkubwa RIP alipata kiharusi.Ukiwa na kisukari kisichotibiwa kupata stroke ni very common.
Kisukari type ya mwisho karibu na jeneza chungulia kaburi uone kifo kilivyoKiharusi ngoja wataalamu waelezee zaidi.
Kisukari haifanyi mdomo uende upande bali stroke ndio inaweza kufanya u paralyze upande mmoja kuanzia mdomo ,mkono na mguu.Kisukari mkuu haikua stroke labda stroke ya mdomo
Tafuta wagonjwa wa kisukari type ya mwisho uwaone walivyo si unajua kisukari kimegawanyika kuna type au haujui?Kisukari haifanyi mdomo uende upande bali stroke ndio inaweza kufanya u paralyze upande mmoja kuanzia mdomo ,mkono na mguu.
Yeah kisukari kinaweza leta shida kubwa kwenye mishiba ya fahamu, na pia shinikizo la juu la damu ambayo hupelekea kiharusi.Kisukari type ile ya mwisho, baba mkubwa RIP alikua hivyo mdomo unakaa upande ila hakua na stroke kisukari kilimpiga balaa
StrokeKuna hili tatizo la mdomo kusogea pembeni ambalo humpata mtu akiwa na umri mkubwa kubisa.
Kuna watu wawili ambao nawafahamu vizuri tu wamewahi kukutwa na hiya hali, kimtaa hakuna jibu nimeweza kulipata zaidi ya kuwa wamerogwa/wametupiwa majini. Wakuu naombeni majawabu kwenye hili.
Kwa kukazia: huyo mmoja kati ya wawili ni mdada alikuwa mzuri balaa tumepotezana kama miezi mitatu hivi kuja kumwona nimemshangaa.
Sio kiharusi mdomo kupinda kiharusi ni kupooza mwili upande mmoja kingereza tunaita stroke hakuna stroke ya mdomoYeah kisukari kinaweza leta shida kubwa kwenye mishiba ya fahamu, na pia shinikizo la juu la damu ambayo hupelekea kiharusi.
SawaSio kiharusi mdomo kupinda kiharusi ni kupooza mwili upande mmoja kingereza tunaita stroke hakuna stroke ya mdomo
DiabetesStroke
Hio sio stroke/kiharusi hicho ni kisukari watu wabishi wakati wagonjwa wenyewe hamjawahi kuishi naoSawa
Siyo mwana familia yangu nilitaka tu kujuwa hili tatizo lina tokana na nini.stroke hiyo.. mpeleke hospital