Tatizo la mdomo kulemaa/kusogea upande huwa linasababishwa na nini?

Tajiri Sinabay

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
1,333
Reaction score
3,619
Kuna hili tatizo la mdomo kusogea pembeni ambalo humpata mtu akiwa na umri mkubwa kubisa.

Kuna watu wawili ambao nawafahamu vizuri tu wamewahi kukutwa na hiya hali, kimtaa hakuna jibu nimeweza kulipata zaidi ya kuwa wamerogwa/wametupiwa majini. Wakuu naombeni majawabu kwenye hili.

Kwa kukazia: huyo mmoja kati ya wawili ni mdada alikuwa mzuri balaa tumepotezana kama miezi mitatu hivi kuja kumwona nimemshangaa.
 
Stroke
 
Back
Top Bottom