Jini Kisiranii
JF-Expert Member
- Feb 20, 2018
- 1,912
- 2,254
Tembea 10 km kila siku utakuja kunishukuruHabari zenu Naombeni msaada ndugu zangu Nina tatizo la miguu kuuma kwenye visigino
Nikikaa muda mfupi bila kutembea nikiinuka tuu nianze kutembea miguu inauma sana nashindwa kukanyaga chini pia nikikaa kwenye sehemu inayohitaji nining'inize miguu nikiishusha chini ili nitembee inauma sana
Kwaanae fahamu tatizo hili na tiba yake anisaidie tafadhali nateseka sana
Asante
Futi 6 ni cm ngapiKwa kilo hizo inabidi uwe tall kama futi 6 tofauti na hapo ni obesity.
Utakuwa unapoteza sana wazungu, punguza hili zoezi utakaa sawaMie nina changamoto ya magoti, haswa la kushoto ukikunja na kukunjua, linalia kama mlango ambao bawabu zake zimechoka.
Habari zenu Naombeni msaada ndugu zangu Nina tatizo la miguu kuuma kwenye visigino
Nikikaa muda mfupi bila kutembea nikiinuka tuu nianze kutembea miguu inauma sana nashindwa kukanyaga chini pia nikikaa kwenye sehemu inayohitaji nining'inize miguu nikiishusha chini ili nitembee inauma sana
Kwaanae fahamu tatizo hili na tiba yake anisaidie tafadhali nateseka sana
Asante
Sababu ya tatizo inaweza ikawa ni niniJikande mara kwa mara kwa barafu, ikiwezekana ufanyiwe masaji ya miguu na mbobezi
inaweza kusababishwa na;-Sababu ya tatizo inaweza ikawa ni nini
Okay japo ni changamoto kujua tatizo la mtu bila kumuona au bila vipimo, ila kwa maelezo yako kuna uwezekano ukawa na calcaneal spur, ambapo kifupa huota kwenye mfupa wa kisigino kimakosa.Maumivu hapo kwenye visigino tuu pia si wakati wote ni ule wakati wa kutembea tuu nachechemea pia mimi sio mnene sana Nina kilo 82
Sahihi kabisa na mawazo yangu nami nimewahi kuhisi hili ni tatizo, Hapo nyuma, ilikuwa napenda sana burudani hiyo, nilikuwa napenda kwichi kwichi kuliko kula.. Vingine havielezeki, ila sasa matokeo nayaona sasa hivi.Utakuwa unapoteza sana wazungu, punguza hili zoezi utakaa sawa