Jini Kisiranii
JF-Expert Member
- Feb 20, 2018
- 1,912
- 2,254
Tembea 10 km kila siku utakuja kunishukuruHabari zenu Naombeni msaada ndugu zangu Nina tatizo la miguu kuuma kwenye visigino
Nikikaa muda mfupi bila kutembea nikiinuka tuu nianze kutembea miguu inauma sana nashindwa kukanyaga chini pia nikikaa kwenye sehemu inayohitaji nining'inize miguu nikiishusha chini ili nitembee inauma sana
Kwaanae fahamu tatizo hili na tiba yake anisaidie tafadhali nateseka sana
Asante