hm boy
Member
- Mar 10, 2017
- 11
- 14
bei za vipimo sifaham ila ni vizuri ukafika hospital kabisa ili upate information za uhakika
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bei za vipimo sifaham ila ni vizuri ukafika hospital kabisa ili upate information za uhakika
bei za vipimo sifaham ila ni vizuri ukafika hospital kabisa ili upate information za uhakika
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa gani ndugu ziweke hapaWakuu me pia nina Hilo tatizo ila kwa sasa ninatumia dawa na zinanisaidia angalau nafuu naiona
Zinaitwaje hizo dawa?Wakuu me pia nina Hilo tatizo ila kwa sasa ninatumia dawa na zinanisaidia angalau nafuu naiona
Natumia Pregabalin/Ligaba 75 znasaidia ndg......sema nilichogundua pia dawa inaweza kuwa tofauti kutegemea na source ya tatizo so kwa uhakika zaidi nenda kwnz kamwone physician ndugu
.
Ulifanya ulifanyeje fanyeje mwenyeweNilikuwa na huo ugonjwa zaida ya mwaka
Ulianza kama masihara baadae ukaongezeka
Nashukuru kupitia jamii forum doctor nimepata maarifa kidogo
Nikaenda google kikaongeza upeo kidogo hivi sasa namshukuru m , mungu nimepona kabisa na nimejitibu mwenyewe kwa kusoma soma tu mitandao..
Kwa Tatizo lako la Miguu kuwako Moto na Visigino jaribu kupakaa Hina kwenye nyayo zako inasaidia sana kwa hayo matatizo yako na kwa jambo la Unene jaribu kuwa unatembea kila siku kwa umbali wa kilomita kama tatu au tano kwa kila siku utapunguwa na jaribu pia kuwacha kula vyakula vya Mafuta Mafuta na kila siku jaribu kuwa unakunywa kijiko kimoja cha Siki ya Apple itakuasaidia kupunguza unene wako.
Pole sana.jaribu ukapime vipimo vya ex lay uone kwenye pingili za uti was mgongo kuna niniOk. Nami Nina tatizo kama la kwako ni MDA mrefu sjapona . Kama utapata Sawa nshirikishe nami nkipata ntakushirikisha
Nilishakwenda kupima tena nilipima MRI sina hitilafu yeyote kwenye UTI wa mgongo. Ila kuna dawa nilipewa nashukuru imenisaidia Sana nipo shwari hivi sasaPole sana.jaribu ukapime vipimo vya ex lay uone kwenye pingili za uti was mgongo kuna nini
Nilishakwenda kupima tena nilipima MRI sina hitilafu yeyote kwenye UTI wa mgongo. Ila kuna dawa nilipewa nashukuru imenisaidia Sana nipo shwari hivi sasa
Kwakwel,im shocked! Tatizo linatokana na nin?
Je linaambukiza?coz my sister alishapatwa na ugonjwa wa pingili za uti wa mgongo,.je inahusiana?
Lyrica tablets , neurobion tablets , amitriptyline tablets, Lexapro tablets , tranmed capsules, pristiq XR . Ila dawa hizi zitakuepo Tanzania Kwa trade mark nyingine. Mimi nilikuwa natumia nikiwa Thailand nilitibiwa na neurologist Dr Yuthana Huahin Bangkok hospital .Hongera sana,dawa zipi mdau ulipata zikakusaidia?
Unafanya kazi gani?Naomba kupewa elimu juu ya kupata ganzi kunakoenda sambamba na kuwaka moto miguuni kuanzia kwenye vidole vya miguu ( Kanyagio la mguu) ambapo Nusu ya kanyagio kuishia vidoleni napata ganzi sana kiasi kwamba hata nikichomwa au kukatwa na kitu sihisi maumivu zaidi ya kuona damu tu ndio naweza kutambua kwamba nimeumia. Sambamba na hilo sehemu hiyo inayopata gazi inakuwa kama naungua moto kabisa. Naomba ushauri juu ya hili tafadhalini