Tatizo la mishipa ya damu

Asante sana dada.Nitajaribu kupunguza mawazo ila ni ngumu kwa maana mambo ya uchumba yalinitia hasara kubwa.

Njoo kanisa la ufufuo na uzima uombewe utapona, au ni kile kipara ulichopata? njoo Tanganyika packers kwa senior pastor Gwajima ufanye maombezi...
 
Pole Muamini Mungu na usali, mapito ni sehemu ya maisha ila angalia yasikupeleke pabaya, kaza moyo kila kitu kinapita hapa duniani isipokua Neno la Mungu
 
Ebu kwenda huko wewe tapeli wa kiroho mla sadaka za watu na kukwapua wake za watu.Shindwa katika jina la YESU.
 
Pole Muamini Mungu na usali, mapito ni sehemu ya maisha ila angalia yasikupeleke pabaya, kaza moyo kila kitu kinapita hapa duniani isipokua Neno la Mungu

Ni kweli kabisa mtumishi.Niombee haya mambo yapite.
 
Huyu jamaa full vituko,nenda kwa gwajima na wife wako mkaombewe.
 
Njoo kanisa la ufufuo na uzima uombewe utapona, au ni kile kipara ulichopata? njoo Tanganyika packers kwa senior pastor Gwajima ufanye maombezi...

Mwambie huyo pastor wako wa kuzimu ajiombee mwenyewe ili aache kukwapua wake za watu,aache kutapeli sadaka na uchafu wote wa kichawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…