Lomaa lolusa
Member
- May 15, 2017
- 30
- 45
Tatizo bank lengo lao sio kuuza nyumba yako, wanataka uhakika kwa wewe kulipa pesa,record zako za mikopo ,cash flow nkMasharti ni mengi mno kweny benki aisee! Yaani ndio maana watu wanaenda kwenye kaushaDamu... serikali na viongozi wanasema ukiwa na Hati tuu inatosha kuwa kama dhamani benki ili upate mkopo. Ukienda kwenye uhalisia sasa benki wenyewe yaani ni usumbufu mtupuu
Ninakushauri endelea kukomaa mwenyewe. Benki wako sahihi 100% kukunyima mkopo kama huna cashflow. Wanaokuambia connection wanakudanganya kwasababu hiyo hela ukipewa ukaitumbukiza kwenye huo ujenzi huku ukiwa huna wapangaji walioanza kulipa kodi utasumbuka. Kama watakupa Grace period itakusaidia.Mimi nimefanikiwa kujenga nyumba ya kupangisha eneo la chuo cha mipango Dodoma, ina vyumba kumi na tayari watu wanaishii.
Nina shida ya mkopo mil 20 kwa ajili ya kuchimba kisima na kujenga uzio nimeenda bank wanataka cash flow ambayo mimi sina.
Msaada tafadhari.
Mkopo ni kitanzi ni pingu ni jela unajifunga mwenyewe [emoji1787]Jibane ujenge mwenyew ukishaendekeza mikopo mingi huwa ni majuto tu
Na tatizo letu hatutaki tumia bank kufanya miamala, twatumia simu ambazo hazina majina yetuTatizo bank lengo lao sio kuuza nyumba yako, wanataka uhakika kwa wewe kulipa pesa,record zako za mikopo ,cash flow nk
Naaam,ila Kama majina ni yako wanapokea statement ya simNa tatizo letu hatutaki tumia bank kufanya miamala, twatumia simu ambazo hazina majina yetu
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Bank statementsHivi cashflow unaipataje au ni kitu gan unapeleka bank kuonyesha hiyo cashflow???