Tatizo la mtoto kuwa muoga kupitiliza

Samatime Magari

Senior Member
Joined
Feb 10, 2017
Posts
119
Reaction score
457
Habari zenu ndugu zangu kuna kitu naoma mnipe mwongozo wa jinsi ya kusadia watoto wenye uoga wa kupitiliza, mfano mtoto akiona mjusi au mdudu anaogopa anatetemeka sana na kama kamuona ndani anashindwa hata kukaa ndani kwa amani,

Pia wanakua wakiwa wamelala wakipata ndoto mbaya wanalia sana na kutetemeka.

Asanteni
 
Mtoto tabia zingine anaiga kutoka kwa wazazi wake na inatokana na jinsia yenyew ya mtoto jicukunguzeni nyie wazazi wenyew then mtajua kaiga kutoka kwa yupi!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguza veve sasa unamtisha mtoto. Acha kujifanya mjuaji mjuaji hakika mtoto atatulia
 
Huyo mtoto jinsia gani?
Kama ni wa kike huwa ni waoga ila kama ni wa kiume huwa hawaogopi. Ipo hivyo.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Unasema mtoto, wapo watu wazima wanaogopa mijusi akiona mjusi anakurukia anakaa juu kama ngedere

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mtoto jinsia gani?
Kama ni wa kike huwa ni waoga ila kama ni wa kiume huwa hawaogopi. Ipo hivyo.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
motto ni wa Kike na uoga wake umepitiliza so sio kawaida
 
asante Je huu huoga hauwezi kuleta shida katika ukuaji wa motto hasa hasa kiakili ?
Usiogope hauwezi ukamletea shida kiakili wala ukuaji, ni anakua anajiami tu kutoka kwenye hatari cha kufanya wewe muaminishe kuwa hivyo vidudu havina shida tena ikiwezekana uwe unashika mbele yake ili ajue havina shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo umekuja kunisema huku?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Honey sijakutaja ila ni heri ujitaje tu, nataka hii tabia ishe banah, usiku wa manane huingi toilet kisa umemuona mjusi [emoji23][emoji23][emoji23], unanirukia kama kangedere,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sawa mkuu nitaongeza juhudi katika hilo sababu tayari nishaanza kulifanyia kazi
 
Mjusi mkubwa hivyo? Mende au jongoo[emoji23][emoji23]nahama nyumba mpaka watoke nje wenyewe.
Kwahiyo haujanitaja? Sasa si kila mtu atajua reference yako ni mke wako?

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Itakua vizuri wakujue sasa kama una uoga kama ako katoto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena umekazidi honey , am the hero daddy in the house who kills creatures that scares my wife, ain't you proud [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] of me.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hey!! I do , I really proud of you.[emoji23][emoji23][emoji23].
Byeee tusiharibu uzi wa watu.
Mtoa mada tusamehe[emoji120][emoji120][emoji120]

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…