Samatime Magari
Senior Member
- Feb 10, 2017
- 119
- 457
Habari zenu ndugu zangu kuna kitu naoma mnipe mwongozo wa jinsi ya kusadia watoto wenye uoga wa kupitiliza, mfano mtoto akiona mjusi au mdudu anaogopa anatetemeka sana na kama kamuona ndani anashindwa hata kukaa ndani kwa amani,
Pia wanakua wakiwa wamelala wakipata ndoto mbaya wanalia sana na kutetemeka.
Asanteni
Pia wanakua wakiwa wamelala wakipata ndoto mbaya wanalia sana na kutetemeka.
Asanteni