ESPIRIT
JF-Expert Member
- Jul 3, 2014
- 665
- 524
Salam sana!
Bila kupoteza muda. Nina miaka around 30 now naona life inaniumiza sana. Najua hii imechangiwa sana na swala la mahusiano (love love love). Nahisi kama nimekosea hatua muhimu sana katika maisha yangu.. Kuwaza hilo imenifanya niwe nafikiria hata sumu! Imekuwa badala ya Kuwaza namna ya kufanya maendeleo, nachukua mda mreeef sana kulala baada ya kutoka job.
Imefika mahali namfukuza rafiki yangu wa kike toka toka hapa kaa mwenyewe huko japo siko nae yaan hiyo toka toka hapa nakuwa nazungumza mwenyewe! mshana jr amewahi leta thread hapa Wanaoongea peke yao wanazidi kuongezeka kweli kwenye hiyo listi nipo. Nipeni msaada nini nifanye ili mawazo hayo ya kujitoa uhai yafe, ama KUZUNGUMZA MWENYEWE ikome, kwa sababu imefika mahali nawaza then nafika mahali natoa neno kwa sauti toka hapaa.
Halafu nikigundua mtu kaskia naunganisha kawimbo kakuzugia ili ajue nilikuwa naimba.
Tafadhali nategemea sana hekima yako, naomba usinitukane mtu wa Mungu.