Tatizo la mwili kuwasha baada ya kuoga pamoja na koo pamoja na masikio kuwashA

Tatizo la mwili kuwasha baada ya kuoga pamoja na koo pamoja na masikio kuwashA

Lambo jini

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2018
Posts
247
Reaction score
338
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu anasumbuliwa sana na koo na masikio kuwasha pia mwili kuwasha baada ya kuoga. Je tatizo linaweza kuwa ni nini!?
 
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu anasumbuliwa sana na koo na masikio kuwasha pia mwili kuwasha baada ya kuoga. Je tatizo linaweza kuwa ni nini!?
Nakushukuru mkuu, ni vizuri uende hospitali ukaonane na wataalam wa afya
 
utakua na mzio mkuu achana na habari za kuoga kabisa
 
Nenda hospital watakuoa dawa na ushauri zaidi. Mara nyingi itakua mchafuko wa damu
 
Inaweza kusababishwa na sabuni unayotumua kuogea. Umewahi kujaribu kubadili aina ya sabuni au kuoga bila sabuni.
 
Allergies, may be from animal foods e.g meat, milk u name it, or something chemicals. Suinus involves, u have to DETOX ur body. Check ur Physician or MD.
 
Achana na Yale madodoki mnayokata kwenye net za msaada.
 
Back
Top Bottom