Tatizo la Nchi yetu Wanahabari wote ni CCM na sasa sekta imetekwa na Waigizaji. Chadema anzisheni Media yenu mtufikie kiuhakika

Chanzo kikuu Cha mapato kwa vyombo vya habari ni matangazo na kwa Tanzania mtangazaji mkuu ni serikali hivyo basi vyombo vingi vya habari vinaogopa kuleta habari mbaya kuhusu serikali kwa hofu ya kukosa matangazo

Pia wamiliki wakubwa wa media houses Tanzania ni makada wa chama tawala na wengine ni viongozi wakubwa mfano ni mmiliki wa Sahara Media Group ni mwenyekiti wa chama Cha mapinduzi mkoa wa Mwanza hivyo huwezi Kuta suala la ku-balance story.

Kwa kifupi Tanzania Kuna media capture
 
Mzee wa ulasi hapa umenena jambo la msingi sana na hbr ziwafikie CDM popote walipo. Dunia ya sasa ni ya utandawazi ili ulete impact kweny jamii kuhus jambo flan ni lazima jambo lako liwafikie wananchi popote walipo. So kutegemea vyombo vya hbr ambavyo vinaripoti hbr kwa kufuata utawala unatakaje ni tatizo!!
 
TBC inawezekana zaidi ya 95% ni under 45 age..ndio maana mambo ya kitoto kitoto mengi sana sijawahi ona TBC news presenter mtu mzima wa makamo kama news media za nchi zingine..hawa watoto hawajui lolote zaidi ya ushabiki maandazi, ni taifa la ajabu sana hili, TBC wanachojua ni kurecycle hao wageni wanaowapata na wengi wako shallow iwe ni kutoka UDSM au machinga..wengi wanafanya propaganda tu, cheap politics!
 
Sio kweli, sio waandishi wote wa habari wananunulika!.
P
Mkuu samahani, sio wote kabisa mmebaki labda wawili watatu lakini .....

Kwenye trend reading ... ni kama media zote zimesalimu amri toka kipindi cha ndugu yako.

Na kama hiyo haitoshi, media zimeamua kuanza kuajiri wasanii wa vichekesho na clouts wa Social media.

Wewe si wakili lakini mkuu?😊
 
Huko Twitter, Kuna jamaa anajiita madenge ,sikuhizi yupo huko efm lakini yule bwana ukiangalia tweets zake ,utagundua Kuna ombwe kubwa kwenye hiyo tasnia
Wenyewe wanakwambia huyo ni mwalikwa tu sio lazima awe mwandishi wa habari.
 
Salaam John, Dokezo; Si wanahabari wote ni Wana CCM, la hasha! ndani ya tasnia wapo wapinzani, Wana CCM na wasio na vyama,
Salaam John, Dokezo; sio wanahabari wote ni Wana CCM, la hasha! ndani ya tasnia wapo wapinzani, Wana CCM na wasio na chama, hivo hitimisho la wote si sahihi, content unazoziona ni matokeo ya mifumo ya utawala kumeza media, hivo wakati mwingine media upewa agenda na si wao kuset agenda Ili kulinda maslahi ya chombo husika, matokeo yake ni ubutu wa tasnia na watu wake.
 
Shida hawana content
 
Nowadays wanaokotwa wapiga Porojo mitandaoni ndio presenter what do you expect
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…