Tatizo ni kwamba vyombo vyenyewe vinavyoitwa vya habari, mara nyingi haviwi vyombo vya habari, ni vyombo vya umbea, propaganda na uwongo.
Ukitaka ujue hatuna vyombo vya habari, kuwe na tukio baya lililofanywa na Serikali, idara ya Serikali au viongozi wa Serikali.
Ndiyo maana kukiwa na matukio makubwa negative yanayoigusa Serikali, utalazimika kuitafuta BBC au DW, vyombo vya habari vya Ulaya ili upate taarifa za yanayoendelea Tanzania, na wakati wewe mwenyewe upo Tanzania.
Sisi kila kitu tunafeli, sijui tunaweza nini.