Tatizo la Nchi yetu Wanahabari wote ni CCM na sasa sekta imetekwa na Waigizaji. Chadema anzisheni Media yenu mtufikie kiuhakika

Tatizo la Nchi yetu Wanahabari wote ni CCM na sasa sekta imetekwa na Waigizaji. Chadema anzisheni Media yenu mtufikie kiuhakika

Tatizo ni kwamba vyombo vyenyewe vinavyoitwa vya habari, mara nyingi haviwi vyombo vya habari, ni vyombo vya umbea, propaganda na uwongo.

Ukitaka ujue hatuna vyombo vya habari, kuwe na tukio baya lililofanywa na Serikali, idara ya Serikali au viongozi wa Serikali.

Ndiyo maana kukiwa na matukio makubwa negative yanayoigusa Serikali, utalazimika kuitafuta BBC au DW, vyombo vya habari vya Ulaya ili upate taarifa za yanayoendelea Tanzania, na wakati wewe mwenyewe upo Tanzania.

Sisi kila kitu tunafeli, sijui tunaweza nini.
Chanzo kikuu Cha mapato kwa vyombo vya habari ni matangazo na kwa Tanzania mtangazaji mkuu ni serikali hivyo basi vyombo vingi vya habari vinaogopa kuleta habari mbaya kuhusu serikali kwa hofu ya kukosa matangazo

Pia wamiliki wakubwa wa media houses Tanzania ni makada wa chama tawala na wengine ni viongozi wakubwa mfano ni mmiliki wa Sahara Media Group ni mwenyekiti wa chama Cha mapinduzi mkoa wa Mwanza hivyo huwezi Kuta suala la ku-balance story.

Kwa kifupi Tanzania Kuna media capture
 
Ni ukweli ulio wazi kuwa Waandishi wa habari ni watu wanaosubiria Teuzi na kwa maana hiyo ni wanaccm

Chadema wamefanya operesheni +255 lakini hakuna chombo cha habari makini kilichoripoti positively sana sana kuna Gazeti liliripoti mgogoro wa Mbowe na Tundu Lisu katikati ya operesheni

Niwashauri tu Chadema na ACT Wazalendo waanzishe media zao kama kweli Wana nia ya kuwafikia Wananchi

Nawatakia Dominica Njema!
Mzee wa ulasi hapa umenena jambo la msingi sana na hbr ziwafikie CDM popote walipo. Dunia ya sasa ni ya utandawazi ili ulete impact kweny jamii kuhus jambo flan ni lazima jambo lako liwafikie wananchi popote walipo. So kutegemea vyombo vya hbr ambavyo vinaripoti hbr kwa kufuata utawala unatakaje ni tatizo!!
 
Tbc haswa fm hakuna content Tena , ni mwendo wa cheza pesa , umbea umbea na majungu ... Yaani topic hot labda ni mambo ya mapenzi mapenzi na kamari tu. Na pia ukiwasikiliza watangazaji wengi utagundua Kuna vitu Wana mis sana vya kitaaluma na wengi ni weupe kichwani.
TBC inawezekana zaidi ya 95% ni under 45 age..ndio maana mambo ya kitoto kitoto mengi sana sijawahi ona TBC news presenter mtu mzima wa makamo kama news media za nchi zingine..hawa watoto hawajui lolote zaidi ya ushabiki maandazi, ni taifa la ajabu sana hili, TBC wanachojua ni kurecycle hao wageni wanaowapata na wengi wako shallow iwe ni kutoka UDSM au machinga..wengi wanafanya propaganda tu, cheap politics!
 
Sio kweli, sio waandishi wote wa habari wananunulika!.
P
Mkuu samahani, sio wote kabisa mmebaki labda wawili watatu lakini .....

Kwenye trend reading ... ni kama media zote zimesalimu amri toka kipindi cha ndugu yako.

Na kama hiyo haitoshi, media zimeamua kuanza kuajiri wasanii wa vichekesho na clouts wa Social media.

Wewe si wakili lakini mkuu?😊
 
Huko Twitter, Kuna jamaa anajiita madenge ,sikuhizi yupo huko efm lakini yule bwana ukiangalia tweets zake ,utagundua Kuna ombwe kubwa kwenye hiyo tasnia
Wenyewe wanakwambia huyo ni mwalikwa tu sio lazima awe mwandishi wa habari.
 
Ni ukweli ulio wazi kuwa Waandishi wa habari ni watu wanaosubiria Teuzi na kwa maana hiyo ni wanaccm

Chadema wamefanya operesheni +255 lakini hakuna chombo cha habari makini kilichoripoti positively sana sana kuna Gazeti liliripoti mgogoro wa Mbowe na Tundu Lisu katikati ya operesheni

Niwashauri tu Chadema na ACT Wazalendo waanzishe media zao kama kweli Wana nia ya kuwafikia Wananchi

Nawatakia Dominica Njema!
Salaam John, Dokezo; Si wanahabari wote ni Wana CCM, la hasha! ndani ya tasnia wapo wapinzani, Wana CCM na wasio na vyama,
Ni ukweli ulio wazi kuwa Waandishi wa habari ni watu wanaosubiria Teuzi na kwa maana hiyo ni wanaccm

Chadema wamefanya operesheni +255 lakini hakuna chombo cha habari makini kilichoripoti positively sana sana kuna Gazeti liliripoti mgogoro wa Mbowe na Tundu Lisu katikati ya operesheni

Niwashauri tu Chadema na ACT Wazalendo waanzishe media zao kama kweli Wana nia ya kuwafikia Wananchi

Nawatakia Dominica Njema!
Salaam John, Dokezo; sio wanahabari wote ni Wana CCM, la hasha! ndani ya tasnia wapo wapinzani, Wana CCM na wasio na chama, hivo hitimisho la wote si sahihi, content unazoziona ni matokeo ya mifumo ya utawala kumeza media, hivo wakati mwingine media upewa agenda na si wao kuset agenda Ili kulinda maslahi ya chombo husika, matokeo yake ni ubutu wa tasnia na watu wake.
 
Social media happened. Smartphones zimezagaa sana
Social media imeua vyombo vya habari.
Watu wako busy na Instagram,JF,Youtube na Tiktok. Watu tena hawapay attention kwa Tv na Radio kama zamani.
Kwahyo uhai wa vyombo ukawa unapumulia mtungi.

Kujikwamua kutoka kufirisika ikabidi wajiingize kwenye biashara ya kamari ili kuendesha makampuni.
Shida hawana content
 
Kuna wakati, hasa nikiwa kwenye gari, nafungua redio na kuzima mara moja, maana unaona ni upuuzi mtupu.

Watangazaji wengi wanazifanya studio kuwa vijiwe vya kupigia story. Hakuna cha maana, ni umbeya umbeya na kucheka, kama vile kucheka nayo ni habari.
Nowadays wanaokotwa wapiga Porojo mitandaoni ndio presenter what do you expect
 
Back
Top Bottom