Basi kweli huyu mnyama ni haram.Anakula
Anakula vizuri tu.Nguruwe anakula nyama?
Hao nguruwe konk master hawataki chakula chao kiliwe na kuku,Habar ya leo
Nina mradi wa ufugaji nguruwe mix kuku wa kienyeji Kijijini kwetu Songea. Tatizo lililopo ni Nguruwe kukamata na kula kuku wanaoingia bandani kuokota punje za mahindi. Sio chini ya kuku 10 wamefanywa kitoweo
Naomba msaada changamoto hii wafugaji mnatatuaje?
Mungu aliposema msile wala msimkalibie alimanishaa...Basi kweli huyu mnyama ni haram.
Sijaonaga mnyama anayekula nyama analiwa na binadamu, sikuwa nalijuwa hili.
Sikuwa nalijuwa hili, ninavyojuwa mimi wanyama wanaokula nyama binadamu huwa hatuwali.Anakula vizuri tu.
Ngoja nikapige kwanza kilo moja rost na ndizi mbili nishushie na K-veve ili niweze kulitafakari jambo hili.Mungu aliposema msile wala msimkalibie alimanishaa...
Labda Kama haujawahi kufunga nguruwe mkuu,huyu mnyama hata akikuta mtoto mchanga nje usipokua makini anapita nae. Yeye anakula chochote kinachompitia mbele akiwa na njaa, ingawa si nguruwe wote hufanya hiviKuna uwezekano umemzoesha hilo mkuu.
Nguruwe hali kuku kama wewe hujamzoesha kula hiko kitu.
Ndyoo anakula.Nguruwe anakula nyama?
Sikuwa nalijuwa hili, fuatilia kwa makini wanyama karibu wote tunaokula binadamu ni wale wanaokula majani, majani ni nature.Ndyoo anakula.
Aaaah sasa hilo ni suala jingine Mr, na unataka kutoka nje ya mada. tusiende huko.Sikuwa nalijuwa hili, fuatilia kwa makini wanyama karibu wote tunaokula binadamu ni wale wanaokula majani, majani ni nature.
Wewe umesema kuku wanafuata mahindi, si uache kuweka mahindi huko kwa nguruwe? Pia, uimarisha mabanda ya mifugo yako ili kuku wasiweze kuingia huko kwa 'kitimoto'.Habar ya leo
Nina mradi wa ufugaji nguruwe mix kuku wa kienyeji Kijijini kwetu Songea. Tatizo lililopo ni Nguruwe kukamata na kula kuku wanaoingia bandani kuokota punje za mahindi. Sio chini ya kuku 10 wamefanywa kitoweo
Naomba msaada changamoto hii wafugaji mnatatuaje?
Tatizo la Nguruwe kula kuku, ni tatizo linalotakiwa kujibiwa na wasomi wa SUA, wapo huku Jf ila majibu hawana wanasaka ajira ambazo ni ngumu kuzipata.